Prince Dully Sykes na Mr. Blue wajengewe masanamu

Prince Dully Sykes na Mr. Blue wajengewe masanamu

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Mimi Ni mfuatiliaji mzuri sana wa muziki hasa hasa muziki wa Bongo Fleva na hip hop. Kwa hapa Tanzania wapo wasanii wawili ambao wametamba Sana kwenye muziki toka enzi hizo mpaka leo hii bado wanakaza buti.

Prince Dully Sykes na Mr Blue ndio miamba wenyewe. Yaani Hawa miamba wameimba nyimbo nyingi Sana kudadeki. Katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati Hakuna msanii ambaye amewahi kufanya collaborations nyingi Kama Dully Sykes na Mr Blue.

Hawa wasanii wawili wanaaminika kuwa ndo wasanii pekee ambao wameshirikishwa sana na wasanii wengi kwenye nyimbo zao kuliko wasanii wengine wote.Yaani Hawa wasanii wapo tayari kufanya collaboration na msanii yeyote atakayekuja mbele yao,hawabagui Wala hawachagui.

Binafsi nawakubali Sana Hawa wasanii 2 na juzi Kati Dully Sykes aliachia kibao kizuri Sana kinachoitwa Ananipagawisha. Kwangu hii Ni classic song.

Hebu tuanze kutaja nyimbo ambazo zilimbwa na hawa wasanii wawili especially collaborations. Mimi naanza hi I [emoji116][emoji116]

Dully Sykes ft Lava Lava- Balaa
 
Kushirikishwa kwenye nyimbo nyingi si kigezo cha kujengewa sanamu, mwanamuziki anaweza kuwa na nyimbo moja na ikaleta impact kubwa kwenye jamii na akaweza kujengewa sanamu.
 
Kushirikishwa kwenye nyimbo nyingi si kigezo cha kujengewa sanamu, mwanamuziki anaweza kuwa na nyimbo moja na ikaleta impact kubwa kwenye jamii na akaweza kujengewa sanamu.
Hadi ipite karne nikiwa hai na hata nikifa sitataka kuwa mnafki kuwa Prof Jize ni tunu kubwa sana ktk ubora wa kipaji cha wasanii mahiri wa kazi nzuri TZ na duniani kiujumla.
 
Ni wakongwe lakini hawana consistently kwenye game! Yani wanakuja na kupotea!
 
Back
Top Bottom