Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
IST ada bei gani mkuu?Inazidiwa ata na IST, Masaki.
Hio ndio shule yao Royal family na watu wengine wenye hadhi ya juu UK.Hapo wamempeleka shule ya ada rahisi kidogo, kuna nyingine ada kubwa zaidi ya hiyo Eton ππ
IST ada bei gani mkuu?
Hizo ada ni kubwa kuliko Β£65,000 ?
Naam,Hio ndio shule yao Royal family na watu wengine wenye hadhi ya juu UK.
Ila hawa jamaa...shule imeanzishwa mwaka 1440 sijui Tanganyika kipindi hiko watu walikuwa wanaishije?!Naam,
Lakini si wote. Mfalme wa sasa Charles hakwenda Eton, alienda Gordonston
Theyβre the most useless mazafakas on earth! Members wa royal families wamewahi kusoma wakazinufaisha vipi nchi zao? Siku zote wao ni mzigo kwa walipakodi.Prince George ameanza rasmi masomo yake katika Eton College, shule maarufu na yenye historia kubwa nchini Uingereza. George mwenye umri wa miaka 13 alifika shuleni akiwa ameambatana na wazazi wake, Prince William na Catherine, Princess of Wales.
George sasa anafuata nyayo za baba yake, Prince William, na mjomba wake, Prince Harry, ambao pia waliwahi kusoma katika shule hiyo. Prince William alijiunga na Eton mwaka 1995, huku Prince Harry akianza masomo katika shule hiyo mwaka 1998.
Katika siku yake ya kwanza, George alionekana akiwa amevalia sare rasmi ya Eton na akiwa katika hali ya utulivu. Alipoulizwa namna anavyojisikia kuhusu kuanza maisha yake mapya shuleni hapo, George alijibu kuwa yuko tayari.
George atakuwa mwanafunzi wa bweni la kila wiki katika Eton College. Kabla ya hapo, alikuwa akisoma katika Lambrook School pamoja na wadogo zake, Princess Charlotte na Prince Louis.
Eton College ni moja ya shule kongwe na maarufu zaidi nchini Uingereza. Ilianzishwa mwaka 1440 na Mfalme Henry VI na ipo karibu na Windsor Castle. Shule hiyo inajulikana kwa historia yake, mfumo wa elimu na sare yake ya kipekee.
Eton imewahi kusomesha viongozi na watu maarufu mbalimbali, akiwemo zaidi ya Mawaziri Wakuu 20 wa Uingereza, pamoja na waandishi, waigizaji na watu wengine mashuhuri.
Kuingia kwa George Eton kunaongeza zaidi uhusiano wa familia ya kifalme na shule hiyo, baada ya baba yake na mjomba wake pia kusoma hapo.
Eton College inagharimu takribani Β£65,000 (Tsh. Million 230+) kwa mwaka, kiasi kinachofanya shule hiyo kuwa miongoni mwa shule ghali na zenye hadhi kubwa zaidi nchini Uingereza.
View attachment 3667630
Hapo wamempeleka shule ya ada rahisi kidogo, kuna nyingine ada kubwa zaidi ya hiyo Eton ππ
Kwa mwaka, mbona hela ndogo sana hiyo, Kwa hadhi yake pesa ni ndogo sana hata GSM WA katoro ANATOA BILA shida
Kweli kabisa maana ni kama mara mbili ya mshahara wangu wa mwaka ila siwezi kuwapeleka wanangu hapoKwa mwaka, mbona hela ndogo sana hiyo, Kwa hadhi yake pesa ni ndogo sana hata GSM WA katoro ANATOA BILA shida
Kaka maisha sio mabaya kaka una pesa kaka mara mbili Kwa mwaka una mana unavuta milioni mia na ushee Kwa mwaka kakaKweli kabisa maana ni kama mara mbili ya mshahara wangu wa mwaka ila siwezi kuwapeleka wanangu hapo
Hapo wengine waanaandaliwa kuwa viongozi wa juu
Ila wanafunzi ni wanafunzi tu na watukutu wamo
Prince Harry na Hata David Cameron waliwahi kukubali kuwa walivuta bangi hapo
Ni pesa ndogo sana Kwa mwaka, hata diamond hapo ana mpeleka tifa bila shida kabisaπππ