Prince George apelekwa shule ya bweni, ada yake milion 230+ kwa mwaka

Prince George apelekwa shule ya bweni, ada yake milion 230+ kwa mwaka

Aiseeeeeeeeeee sasa mtanzania ananunua luxurious car la million 300 anajaza yard yake kama 7 halafu mtoto anasoma shule ya buku 50 kwa mwezi useless 🪴 🪴
 
IMG-20260909-WA0011.jpg
 
huo ni mshahara wangu wa mwaka,
ila ukweli sina nyumba, wala kiwanja nakula maisha na starehe na wanawake nikifa imetoka hio
 
Mwaka juzi wakati namlipia Binti yangu ada ya kuanza shule ,kidogo kichwa kipasuke kama bisi.Naungana na wote wanaosema(ga) tutafute hela.
 
Back
Top Bottom