Prince Harry Adai Kukosa haki Ya Ulinzi Akiwa UK

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Prince Harry "bila uhalali, ametendewa vibaya kuliko wengine" juu ya mipango yake ya usalama na ulinzi wake wakati yuko Uingereza.

230327103821-01-prince-harry-court-london-032723.jpg

"The Duke of Sussex" anachukua hatua za kisheria dhidi ya Ofisi ya Mambo ya Ndani juu ya uamuzi wa Februari 2020 ambao ulimaanisha kuwa hatapewa tena "kiwango sawa" cha usalama/Ulinzi kibinafsi wakati wa kutembelea Uingereza.

CHANZO: Skynews
 
Kwani bado ana majukumu ya u prince? Si alidanganywa na kile ki bidada? Atulie tu hivyo hivyo alivyotaka!
alidanganywaje?

mwanamke mwenzako,tena mwenye asili yako,anakingiwa kifua na mpenzi wake baada ya ubaguzi wa wazi ndani ya kasri la kifalme mpaka jamaa kutoa sadaka crown,unamwona mjinga!

jamaa aliamua kuishi maisha yake bila ulinzi wala crown,lakini tu anapokuwa nje ya nchi zinazomtambua malkia na mfalme wa uingereza kama mtawala wao,yaani akiwa kama canada,australia anatakiwa alindwe.ila.akija hapa bongo aendelee na bata la kawaida,sasa karudi kwao wamempotezea pia kinyume na mapatano.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Atulie hivyo hivyo!
 
Back
Top Bottom