Lakini ni wenyewe waliombwa wavuliwe. Kumbuka Prince Harry alivyorudi kutoka Marekani Uingereza 2019 aliwaambia watu just call me Harry.Baada ya Prince Harry na mke wake Meghan kuihakikishia familia ya Kifalme kuwa hawatarajii kurudi Uingereza na kuendelea na kazi za Kifalme. Moja ya majukumu ya Harry ilikua mlezi wa mchezo wa Rugby.
Prince Harry na Meghan wametangaza kutarajia mtoto wao wa pili, habari hii waliitoa siku ya Valentine. Kwasasa wanaishi California wakiwa jirani na Oprah Winfrey.
View attachment 1707131
Heartbreak for Prince Harry as he is stripped of role as patron of England Rugby Union and Rugby League
Kate alimchukia Meghan sasa kazi zimemzidi kimoLakini ni wenyewe waliombwa wavuliwe. Kumbuka Prince Harry alivyorudi kutoka Marekani Uingereza 2019 aliwaambia watu just call me Harry.
Ni royal family inatapatapa kwa kujisikia vibaya prince Harry hajali.
Yes, Harry mwenyewe hapendi maisha hayo. So, huwezi kusema ni heartbreak.Lakini ni wenyewe waliombwa wavuliwe. Kumbuka Prince Harry alivyorudi kutoka Marekani Uingereza 2019 aliwaambia watu just call me Harry.
Ni royal family inatapatapa kwa kujisikia vibaya prince Harry hajali.
Na wamepata deal kubwa la 150 million us dollars hii inawauma sana waingereza wengi. Yani ukiona comments zao kwenye social media dhidi ya Harry na Meghan ni bora tu waliondoka.Yes, Harry mwenyewe hapendi maisha hayo. So, huwezi kusema ni heartbreak.
Na ile kusema kwamba waliondoka Royal palace ila watajifikiria baada ya muda kama watarudi ama la, ilikuwa ni diplomatic tu ili mambo yasiwe mengi.
Tatizo wao wanaona kama Royal life ni big deal sana, mpaka wakawa wanaona kama Meghan aliihitaji sana ile title.Na wamepata deal kubwa la 150 million us dollars hii inawauma sana waingereza wengi. Yani ukiona comments zao kwenye social media dhidi ya Harry na Meghan ni bora tu waliondoka.
Pia Meghan anaficha mengi aliyoipitia.
Isikie tu royal life mzee,ni zaidi ya big deal.Tatizo wao wanaona kama Royal life ni big deal sana, mpaka wakawa wanaona kama Meghan aliihitaji sana ile title.
So, wao waneonesha hata hiyo title hawaitaki. Hicho ndiyo kinawauma.
Kila mtu kuna maisha anayoyapenda. Hiyo royal life unayoona ni big deal kuna watu wameishi humo tangu wanazaliwa na hivyo hawaoni jipya.Isikie tu royal life mzee,ni zaidi ya big deal.
Huyu harry ni mwehu for now,
I respect his decision but;
Time will tell, love is blind and few can see
royal life iliondoka na uhai wa mama yake, usidhani ni jambo dogo hili kusahauIsikie tu royal life mzee,ni zaidi ya big deal.
Huyu harry ni mwehu for now,
I respect his decision but;
Time will tell, love is blind and few can see
huyu jamaa amerogwa?