Prince Harry amevuliwa nafasi zake katika familia ya Kifalme

Prince Harry amevuliwa nafasi zake katika familia ya Kifalme

Hii ni ya kwanza zitafuatia nyingine.
What difference does it make? Si wanampa hela ya matunzo? Kwanza huyo ni askari wa miamvuli kama wale wa Mkapa(RIP). anatua anapepea. Atalala njaa kweli?
 
Tatizo wao wanaona kama Royal life ni big deal sana, mpaka wakawa wanaona kama Meghan aliihitaji sana ile title.

So, wao waneonesha hata hiyo title hawaitaki. Hicho ndiyo kinawauma.
Uko sahihi sana bro
 
Lakini ni wenyewe waliombwa wavuliwe. Kumbuka Prince Harry alivyorudi kutoka Marekani Uingereza 2019 aliwaambia watu just call me Harry.

Ni royal family inatapatapa kwa kujisikia vibaya prince Harry hajali.
Harry hataki kuambatana na ushetani wa Buckingham...na hizo rumours za mamaake ndo kabisa anajisikia kutapika[emoji848][emoji26]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Na wamepata deal kubwa la 150 million us dollars hii inawauma sana waingereza wengi. Yani ukiona comments zao kwenye social media dhidi ya Harry na Meghan ni bora tu waliondoka.

Pia Meghan anaficha mengi aliyoipitia.
Netflix?
William anawaka huko balaa[emoji126][emoji126]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom