Unaanzaje kuishi na mtu aliyekuulia mama ako mzaziPrince Harry Hana amani na Bibi yake Elizabeth Mana anajua kua alihusika na kifo Cha mama yake princes Diana ndo Mana atakakuishi mbali na ufalme ashajua kua Hana chake kaona ajitafutie mapema life lake na mkewe.
Wee unaongea tuu kuwa mfamle sio kitoto yaani dunia nzima yako wewe...acheni utani.Unaanzaje kuishi na mtu aliyekuulia mama ako mzazi
Harry ana akili sana, hilo li William halina akili asee kisa ufalme[emoji57][emoji57]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Huujui utamu wa mama wewe[emoji848]Wee unaongea tuu kuwa mfamle sio kitoto yaani dunia nzima yako wewe...acheni utani.
Harry kashaona he will never ascend to the thrown ndio maana kaona akale papuchi
Yule tararira charles ufalme wapi na wapi full gambe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Hapa jamaa kashaona mpaka nije kushika ufalme sio leo wacha nikajienjoy.
Ila huyu queen ni roho mbaya tuu. Anashindwaje ku abdicate thrown na kumuachia mwanae charles?
Alafu huku africa mtu akikaa madarakani miaka 20 wanaanza fyoko fyoko
Habari za Ufalme zimepitwa na wakati.Baada ya Prince Harry na mke wake Meghan kuihakikishia familia ya Kifalme kuwa hawatarajii kurudi Uingereza na kuendelea na kazi za Kifalme. Moja ya majukumu ya Harry ilikua mlezi wa mchezo wa Rugby.
Prince Harry na Meghan wametangaza kutarajia mtoto wao wa pili, habari hii waliitoa siku ya Valentine. Kwasasa wanaishi California wakiwa jirani na Oprah Winfrey.
View attachment 1707131
Heartbreak for Prince Harry as he is stripped of role as patron of England Rugby Union and Rugby League
Hata hivyo una kazi gani kwani ??Habari za Ufalme zimepitwa na wakati.
Ufalme uondolewe.
Wafaransa walipofanya mapinduzi, Mfalme wa Uingereza walifanya maongezi na wabunge na kukubaliana kuwa Waziri Mkuu atakaesimamia shughuli za serikali atachaguliwawna wananchi kwa kura na Mfalme atabaki kuwa Kiongozi wa nchi.Hata hivyo una kazi gani kwani ??
Ndio maana kina Harry wamesepa, kifuatacho itakuwa choice tu kwa wanafamilia kusepa.
Mwehu kapewa deal ya $150M? Hata mimi nautamani huo wehu mkuu, wehu mzuri wa kutengeneza pesaIsikie tu royal life mzee,ni zaidi ya big deal.
Huyu harry ni mwehu for now,
I respect his decision but;
Time will tell, love is blind and few can see
Dogo bado anakumbukumbu za marehemu mama yake aliyeuawa mwishoni mwa miaka ya 90, prince Diana; nadhani anasikia HASIRA sana kwamba sababu ya kifo cha mamaye ni hayo hayo mambo ya uroyo royo; bora kua HURU ili alee watoto wake bila bugudha; wasiwasi wangu, Mosaid au hao M16 hawawezi kufanya yale yale waliofanya kwa marehemu mama yake? This time wakamuua mkewe Mighan? Just thinking a loadKuna pressure kubwa kutoka familia ya kifalme Harry na Meghan waachane na wao ndiyo kwanza wanaongeza watoto
Umesema kweli; kuna siku Bob Marley aliwahi kusema hivi, "some people are too poor in such a way that the only thing they have is money" Hadi leo hua najiuliza, neno UMASIKINI kwa Bob Marley lilikua na maana gani hasa!? Hu ni mwaka wangu wa 20 bado najiuliza, au upweke na kutokua huru?Kuna watu fedha si kila kitu kwao, kuwa huru ndio muhimu sana.
Huyu dogo baba yake anaitwa Prince Charles, sina hakika ni mtoto wa ngapi kwa malkia Elizaberth, huyu Charles alioa mwanamke mmoja anaitwa Diana, walizaa watoto kadhaa akiwepo na huyu dogo aliyetukusanya hapa leo; Charles na Diana walizinguana so wakaachana (sina hakika kama walipeana taraka cause ni Wanglican kwa maana ya imani )Price Diana akatokewa na mtoto wa Don mmoja wa Kimisry aliyekua anaishi zake Ufaransa; Waingereza waka mind, kwamba mrembo wao kaolewa na Mwarabu, kwa maana ya taratibu na mila/desturi zao, mtoto wake atakua na HAKI zote za kuja kua mfalme wa UK, zipo kumbukumbu kwamba tayari Diana alikua ameisha pigwa mimba, Waingereza wakaona isiwe tabu, aliuawa yule mama na jamaa yake, i think was mwaka 1998 kama sikosei.Hembu mtueleze ilikuaje mama mtu akauawaaa
Hamna ishu ya mama wala nini...kwanza mama yake mwenyewe nae alikuwa mpuuzi tuu.....kuishi kwenye familia ya kifalme kuna taratibu zake sasa wee ukiona unabanwa achia ngazi nenda huko kwa hao wa kawaida.....ata mie ningekuwa malkia ningemdedisha tuu anatia aibu jina la ufalme...tena of all people unaenda gegedwa na mwarabu !!!
Ata kama lakini bibi miaka 90 kweli unashindwa muachia mwanao kiti...no hapana thats too much alitakiwa alipofika 75yrs angesema inatosha wacha kijana aendelee......plus she ascended to the thrown at a very young age bwana...ifike sehemu unaridhika.Yule tararira charles ufalme wapi na wapi full gambe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawawezi mdau maana huyo jamaa ndio mrithi wa kile kiti bibi hana jinsi ila anachoshwa tu na jamaa anavyojiweka....Dogo bado anakumbukumbu za marehemu mama yake aliyeuawa mwishoni mwa miaka ya 90, prince Diana; nadhani anasikia HASIRA sana kwamba sababu ya kifo cha mamaye ni hayo hayo mambo ya uroyo royo; bora kua HURU ili alee watoto wake bila bugudha; wasiwasi wangu, Mosaid au hao M16 hawawezi kufanya yale yale waliofanya kwa marehemu mama yake? This time wakamuua mkewe Mighan? Just thinking a load
Wee nawe una ubuyu hadi wa huko mbali! 😉Weee alikuwa anamuonea wivuu[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Aisee, umejuaje jamaa ndio mrithi kaka?Hawawezi mdau maana huyo jamaa ndio mrithi wa kile kiti bibi hana jinsi ila anachoshwa tu na jamaa anavyojiweka....
Kipenzi cha bibi yule