Prince Harry amevuliwa nafasi zake katika familia ya Kifalme


Hajui hata anachoongea, royal life sometimes ni zaidi ya jela. Natamani angefuatilia maisha ya Princess Latifa bint Mohammed Al Maktoum
 
Isikie tu royal life mzee,ni zaidi ya big deal.
Huyu harry ni mwehu for now,
I respect his decision but;
Time will tell, love is blind and few can see

Mkuu roodney upo sawa kabisa. Mimi najiuliza incase of Divorce (kutengana) kati yao hapo baadaye, Prince Harry ataficha wapi uso wake? Ni vyema basi kuomba BOND kati yao idumu ili Talaka isiwe sehemu ya maisha yao,

Ahsante
 
Hata hivyo una kazi gani kwani ??

Ndio maana kina Harry wamesepa, kifuatacho itakuwa choice tu kwa wanafamilia kusepa.
Ufalme hauna maana yoyote katika dunia ya leo, basi Waingereza wengine wanataka kushikilia ndoto yao ya kumbukumbu za enzi walivyotawala dunia.
 
Watoto wao ni wawili tu mkuu, na huyo prince charles ndo first born kwa Queen

Prince william na huyo Harry

Vingine uko vizuri[emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mmedokeza kuhusu jamaa kwenda vitani, mwenye kujua zaidi atujuze safari yake ya kijeshi ipoje? Ana cheo gani?
Kwa wenzetu kuwa mjeda sio ishu eeeh? Maana ni ngumu kumwamini kuishi kwenye nchi nyingine
Am sure atakua anafatiliwa na CIA maana wanaweza hisi ni spy tu
 
Prince Harry, who served in the British Army for a decade, was stripped of his three honorary military titles (Captain General of the Royal Marines, Honorary Air Commandant of RAF Honington and Commodore-in-Chief, Small Ships and Diving, Royal Naval Command) as part of the Sussexes' exit deal.

Haya yametokea hii February
 
Kuna pressure kubwa kutoka familia ya kifalme Harry na Meghan waachane na wao ndiyo kwanza wanaongeza watoto
Shida ya ufalme pia kulinda royal heritage,pata picha siku moja king George huyu mtoto wa William Ana cousin coloured eheheh🤣🤣🤣 waingereza wanachukizwa sana na hiki,Kumbuka mimba ya princess diana back then na Dodi alfayed,yaani William huyu angekuwa na Half bro/sis wa kiarabu,haiwezi tokea hiyo kamwe..
 
Mkuu, mama wa mwenzio ndio anaweza kua mpuuzi but sio mama yako. Sijui kwanini watoto wa kiume hua wana mapenzi sana na mama zao; siku moja nimemsikia Charles Hilary akionesha jinsi alivyo umia mama yake mzazi alivyo KUFA, Charles Hilary ana miaka karibia 60, mama yake amefariki akiwa na late 80's but still mshkaji ilimuuma, ilinitokea hata mimi and thought may be ni mimi peke yangu, nilivyosikia na mzee mwenzangu Charles nae imemuuma then nikajua kumbe tupo wengi. Narudia, mama wa mwenzio anaweza kua mpuuzi kwa jicho lako but sio mama yako
 
Kuwa mama yako hakuondoi upuuzi wake na pia mama yako kufanya mambo ya kipuuzi hakuondoi uchungu utakaokuwa nao pale anapokufa.

Kwa hiyo unataka kuniambia mama yako akichepuka kisa ni mama hicho kitendo sio cha kipuuzi? Hizi ndionattitude za kijinga kwamba baya likifanywa na ndugu yako sio baya ila akifanya mtu mwengini ndio baya.

Mfano mama yako anachepuka sasa kksa mama hutasema kuwa huo sio upuuzi?
 
Ndo maana nahisi huyu Meghan na watoto wake wanaweza tengenezewa "accident

Buckingham ni nyoko, ka Meghan kawe makini[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea amelelewa na nani huyo so usishangae[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nahisi hujalelewa kwenye misingi/ mikono ya wazazi wako... that's y unaona so simple tu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana nahisi huyu Meghan na watoto wake wanaweza tengenezewa "accident

Buckingham ni nyoko, ka Meghan kawe makini

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndio maana wamejitoa mapema,kuepusha yote,Harry anafata footstep za baba mkubwa wake king Edward na wote wake zao wamarekani,Meghan Markle alikuwa anawapa tabu kucope na culture Yao,kuna wakati Kate Middleton alilalamika,si unajua wamarekani wanataka uhuru,provided ni actress ni shida,What Happened When King Edward VIII Quit the Royal Family?
 
Watu mna files zote kutoka Royal family lol
 
Watoto wao ni wawili tu mkuu, na huyo prince charles ndo first born kwa Queen

Prince william na huyo Harry

Vingine uko vizuri[emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Thanks mrembo but nina wazo; mahali tulipofikia mi na wewe nadhani tungeenda extra miles tu, sio kwa kupendana huku! Sijui nimetume wazee kwenu wakanitambulishe? Joke
 
Tuishie hapo mkuu, bakia na imani yako na mimi nibaki na imani yangu, nina amini kwamba, mama ya mwenzio anaweza kuonekana ni mpuuzi kwa jicho lako but sio mama yako; na wewe amini unavyo amini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…