BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JFHapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.
Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
View attachment 783137View attachment 783141
Muhimu sana aisee.Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JF
hata mimi namkubali sana huyu jamaa, kuna uzi alisema ataanzisha wa jinsi alivochungulia kaburi, nausubiri'gi hadi leo.Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JF
Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JF
Muhimu sana aisee.
Nyie watu nimetokea kuwapenda ghafla tu...yaani nawakubali sana sababu mnanikubali pia. "If you offer love you will ultimately receives love in response" nawapenda sana.hata mimi namkubali sana huyu jamaa, kuna uzi alisema ataanzisha wa jinsi alivochungulia kaburi, nausubiri'gi hadi leo.
Miss Madeko japo unapenda saaaaana harusi kuliko ndoa njoo nikudekeze![emoji53][emoji53][emoji53]Yeye ni mwanajeshi
Diamond platinumzUyo jamaaa ni nani?
Sijawahi kuona una comment bila kutaja chura.Miss Madeko japo unapenda saaaaana harusi kuliko ndoa njoo nikudekeze![emoji53][emoji53][emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kuona una comment bila kutaja chura.
mapovu yashaanza kuwatoka nini?Wazungu wame mind kinoma mweusi kuingia kwenye Royal Family.
Harry ni pilot na alipigana Afghan akiwa rubani wa Apache helicopterI think ni mjeda au alikuwa mjeda.
Afghanistan alikuwa pilot wa helicopterIla hawezi kuwekwa front line[emoji23]
Hutaki?Mkuu, akili yako inawaza vitu vya ajabu! Khaa
Vv