Prince Harry anapenda dark skin

Prince Harry anapenda dark skin

Hapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.

Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
View attachment 783137View attachment 783141
Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JF
 
Watu kama nyinyi ni muhimu sana hapa JF
Muhimu sana aisee.
hata mimi namkubali sana huyu jamaa, kuna uzi alisema ataanzisha wa jinsi alivochungulia kaburi, nausubiri'gi hadi leo.
Nyie watu nimetokea kuwapenda ghafla tu...yaani nawakubali sana sababu mnanikubali pia. "If you offer love you will ultimately receives love in response" nawapenda sana.

I'm humbled to hear that! Hugs!

Wink wink!
 
Afu jamaa n kama alkuwa anapga mistar kwa rihanna,afu krihanna nacho naona kilikuwa kmenogewa
 
Huyo jamaa niliwahi kutana nae huko usukumani anakula michembe ni balaa
 
Back
Top Bottom