Prince Harry anapenda dark skin

Prince Harry anapenda dark skin

weusi watamu sana... wana joto zaidi
..
The higher the blackness the higher the amount of nini sijui ( nimesahau kidogo) na vice versa is true

a very simple observation... albino akipigwa na jua dk sifuri tu anakua mwekunduuu ( Yani amekosa kabisa Ile ileeeee ileee ( nimesahau kidogo), , au mweupeee akae juani dakika kadhaa angalia ngozi yake.......

weka na mweusi juani angalia ngozi.....

cc Smart911
 
Hapa akiwa kwenye deployment front line huko Afghanistan anarusha jet fighter ya Apache tayari kwenda kuwamwagia mwaani maadui.

Namkubali sana huyu mshkaji maana ni msela, soldier, mtu wa watu, afu anawapenda waafrika na ana posses three "W" for soldiers...which stand for "women" "War" and "Whisky" he is the man...yule brother wake ni sampuli ya maingereza yale Maconcervative yenye misimamo ya kizamani ya kiingereza kwao waafrika wote ni nyani tu.
View attachment 783137View attachment 783141
hivi kwa katiba yao anaweza kuwa waziri mkuu?
 
Kati ya vitu ambavyo Meghan Markle haruhusiwi tena kufanya baada ya kufunga ndoa na Prince Harry, ni pamoja na Kupiga selfie au kusaini autographs za mashabiki, kutumia mitandao ya kijamii, kuvaa sketi fupi, kula kabla au baada ya Malkia wa Uingereza.
 
Mmhh basi ana history nzuri sana ya jeshi wanawake weusi na kuoa weusi tofauti na maprince walivyotegemewa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio hivyo mkuu, kuwa tu mtu muhimu katika royal family by itself is a role.....ndivyo mara utamuona kwenye Olympic, au kwenye shughuli flani ya kijamii.

Pia anakuwa pale kusubiri kaka yake akifa kama hana mtoto yeye ndio achukue uanamfalme.
 
Kaka yake ana watoto wa3
 
weusi watamu sana... wana joto zaidi
..
The higher the blackness the higher the amount of nini sijui ( nimesahau kidogo) na vice versa is true

a very simple observation... albino akipigwa na jua dk sifuri tu anakua mwekunduuu ( Yani amekosa kabisa Ile ileeeee ileee ( nimesahau kidogo), , au mweupeee akae juani dakika kadhaa angalia ngozi yake.......

weka na mweusi juani angalia ngozi.....

cc Smart911

Hahaha. Kajikumbushe Physics mkuu. Ila weusi watamu sana.....!!
 
Kati ya vitu ambavyo Meghan Markle haruhusiwi tena kufanya baada ya kufunga ndoa na Prince Harry, ni pamoja na Kupiga selfie au kusaini autographs za mashabiki, kutumia mitandao ya kijamii, kuvaa sketi fupi, kula kabla au baada ya Malkia wa Uingereza.
Makubwa Kwani hawajipikii kwao wanakula pamoja royal family
 
Wanaishi pamoja hakuna cha kwao,labda vyumba vya kulala tu napo si maids wanaingia kusafisha kila siku

Queen akishiba hakuna kuendelea kula wote mshibe

Makubwaa labda kwa vile wanakulaga kidogo kidogo, ila raha kweli Hakuna kupika wala kufanya usafi aisee
 
Acha hizo bana yaan hamna privacy kabisaa,na vile mtu kakulia maisha huru mule inahitaji uvumilivu mkubwa
Makubwaa labda kwa vile wanakulaga kidogo kidogo, ila raha kweli Hakuna kupika wala kufanya usafi aisee
 
Huyo ni side chick. Unajua rihanna asingekuwa celebrity hurnda kuwa angeolewa yeye. Basi tu tayar maarufu na zile picha fulan ziko mtandaoni so tayar amesha disqualify kuwa ndani ya royal family.
 
Alikula rihana we?
 
Back
Top Bottom