Princess Tiffah Dangote, followers kibao Instagram

Wajinga laki 5 karibia na nusu... Sasa ukishaona hizo picha za mtoto wa Diamond itakusaidia nini?? Au huyo mtoto ana nini cha maana?? Nchi hii ndio maana haitaweza kuendelea kwa ujinga wa namna hiyo..

TCRA ambieni makampuni ya simu yalimit huu ushenzi wa Instagram.. Kule China ujinga kama huu wa social network inapingwa vikali maana ni kupoteza muda tu.. Sasa watu laki tano ni almost 8% ya watumiaji wote wa huduma ya Internet nchini na unaweza kuwa ni 30% ya vijana chini ya miaka 25 wenye access ya Internet.. Ni upuuzi kuwa na taifa la namna hiyo..
Sasa kwani Kinapungua kitu gani huyu mtoto wakimfollow watu?!Ujinga ni kumfollow Tiffah tu?ila ukimfollow Snura majanga ni sawa eti?!

Usichokipenda wewe wenzako wanakipenda!
Halafu Tiffah ni Ambassador wa NMB KID ACCOUNT,MSASANI MALL,PUGU MALL.

Tiffah ni muajiriwa,kuzidi hata nyie munaojishaua humu JF kujifanya werevu,Tiffah kila unachomuona anakivaa au kuendesha vile vigari vyake basi ujue yuko kazini!!
 
Kwahiyo kama ni ambassador ina maana watoto kama yeye ndio wamemfollow au ni watu wazima wenye watoto wadogo?? Hivi ambassador wa kitu fulani basi ni kaajiriwa na hiyo benki tayari?? Au kufanya hayo matangazo ndio kawa muajiriwa wa NMB?? Kwahiyo huyo binti yupo kwenye salaries account za NMB au yupo kwenye Promotion and Advertisements account?? Ndio tunarudi pale pale kupenda ujinga wa namna hiyo tena ni heri wangemfollow watoto wenzake chini ya miaka 18 kuliko unakuta jitu lina miaka 30 linafollow hako katoto..
 
Ni heri nimfollow Tiffa kuliko kusoma ulichokiandika
 
Kwani nimekukataza kumfollow au nimekulazimisha kusoma??
Sasa kama sio chuki imekujaa dhidi ya mtoto huyu mdogo Tiffah ni nini hasa?mambo mengine yote unayofanya ñi sawa ila mtu akimfollow Tiffah basi ndio hana akili??

Uko radhi ushinde ndani unaangalia matako ya Chura wa Snura,lakini ukimtizama Tiffah ndio inaonekana ujinga?

Unatumia mafuta littre ngapi kumfollow Tiffah?punguza chuki kwa huyu mtoto.
 
Wewe dada vipi.. Ni wapi nimeandika namchukia huyo mtoto?? Hivi nimchukie mtoto ambae sijui kama ana miaka hata miwili ili nipate nini??

Soma nilichoandika in general... Nimeongelea mitandao ya kijamii jinsi inavyotuaribia vijana wetu haijalishi nani kamfollow nani... Ni wapi nimesema watu wamfollow huyo Snura kwenye post yangu?? Nimesema ni aibu kwa mtoto mdogo kama huyo kupata followers zaidi ya laki tano wakati hana chochote anachokifanya.. It's a mess to have a country like that... Yaani unakuta account za matusi na kupigana vijembe zina followers laki 2 mpaka laki 5.. Hiyo ndiyo concern yangu.. Na kwenye post yangu nilishauri kama TCRA au Serikali inaweza kufungia hii mitandao au hata kulimit ni bora wafanye hivyo.. Kuna wakati mpaka video za ngono na picha za faragha zilikuwa zinatumwa kwenye hiyo mitandao kuchafuana tu angalau cyber crime pamoja na madhaifu yake imeweza kupunguza ilo tatizo..

Alafu ngoja nikwambie pia, NMB na hao wengine ambao wanamtumia huyo mtoto kwa matangazo ni kutokana na ujinga wetu wenyewe, NMB si wajinga waone huyo mtoto ana followers laki 5 wakaacha kumtumia.. Bad lucky ni kwamba hao followers laki 5 unaweza kukuta wote ni ambao kichwani hawako sawa kwahiyo hata kile wanachokilenga NMB hawakipati..

Subiri nikwambie kitu dada, Diamond ana followers million 2, wakati ana sign deal la Vodacom aliomba mashabiki wake wote wafollow Instagram Account ya Vodacom Tanzania, Akasema kama Mashabiki wake laki 1 wataifollow account ya Vodacom basi yule wa laki moja atampatia zawadi, by that time Vodacom ilikuwa na followers around 89k lakini mpaka leo Vodacom ina followers 96k pekee... Yaani ni sawa na kusema mtu mwenye influence ya followers million 2 amekusaidia kuongeza followers wasiozidi hata 10k... Alafu unajua hao NMB Tanzania anaowapromote huyo mtoto wana followers wangapi?? Wanao 6,637 mpaka dakika hii naandika... Sasa kwa mifano hiyo ndio ujue mashabiki wa hawa watu ni watu flani wasio na akili sawasawa bali wanatafuta umbeya na ujinga tu huko kwenye mitandao.. Ila simaanisha followers wao wote but majority ndio hao ambao hawana akili sawasawa... Ndio maana hata ile Ongea Daile ilishindwa..
 
Hiyo kauli yako ya kusema eti watu wanaomfollow Tiffah ni hawana akili ndio yenye kuudhi!!
 
Majority ni wapuuzi sijasema wote.. Na sio huyo mtoto tu mpaka wazazi wake majority ya followers ni kama nyumbu tu.. If they really love Diamond wangempa support hata kwa kufollow hao mabosi wake Diamond Vodacom.. It's a shame uwe ambassador wa brand yenye followers wasiozidi laki moja angali wewe mwenyewe una followers million 2...

Ngoja niendelee kukufunulia unyumbu wa followers wa kitanzania huko kwenye mitandao.. Idris Sultan alivyotoka BBA alifungua brand yake ya Tshirt akaiita Sultanation, dogo hakuweza kuuza hata T-shirt 100 brand ikafa.. Diamond mwenyewe ana brand ya Wasafi ina mpaka chupi na boxer ila binafsi sijawahi kuiona madukani wala kuona mtu amevaa, Wema Sepetu ana hizo lipstick ilifika mahali akapunguza 50% ya price lakini bado hauzi chochote... Tukija kwa wenzetu wenye uelewa, Lebron James mcheza basketball wa NBA ni Ambassador wa Nike ana viatu vyake vinaitwa Lebrons mwaka jana aliuza $ 340 Million (Billion 700 za Kitanzania), Stephen Curry mcheza basket pia alisaidia kampuni ya Under Armor kuongeza soko lake kwa 600% ya total sales kwa raba zake zinazouzwa kwa brand hiyo.. Let alone wanamuziki kama Pdidy na Ciroc na 50 Cent na Effen.. Ninachotaka kukwambia ni kwamba mashabiki, followers wengi wa Kitanzania ni watu wasio na akili sawasawa, wanafki na wasiojielewa.. Ndio maana hata huyo Diamond hataki kutoka Album sababu anajua hatauza chochote maana hawatanunua... Followers wengi wa Instagram na mitandao mingine hawajielewi na hawana akili sawasawa.. Nimesema wengi sijasema wote..
 
Fisadi kuu una akili sana embu jichunguze vizuri inawezekana wewe ni ndugu yangu

Wabongo wengi ,90% ni Zombies
 
Ndio maana nikawa fisadi mkuu... We si unajua Chenge alisoma most respected University Harvard... hahaahaha unaweza ukawa mpwa wangu wewe..
 
Aisee kweli mjomba dah

Karibu bana sauzi kuna wajinga lakini sio kama huko zombie land
 
Asante sana mkuu... nikiwa na safari ya huko nitakucheck..

Boss wangu ninayemuendeshaga huwa anapata visafari safari huko..
 
Mtu anaweza kuwa na followers 100 wanaotoka karibia nchi 70 duniani na mwingine akawa na followers 300 huku wote wakitoka nchi moja tena 90% wakitoka mji mmoja. Hoja ya msingi ni 'what do they share?'
Nafikiri hii scenario inaweza kuwa hivi maana haiwezekani mtu ambaye hajawahi kufanya chochote tena 'infant' akamzidi mtu kama Edo Kumwenbe ambaye anatengeneza vision ya maelfu kwa maelfu.
Na hii itukumbushe sisi Watanzania hasa vijana kuwa akili zetu zimedumaa kiasi gani, mtu mwenye wazo la maana hawezi kusikilizwa wakati maelfu wakimjalia mwingine ukiwauliza sababu wanasema eti ni sababu 'anavaa nguo ya ndani nyekundu'.
 
samahani nataka kufahamu Insta ni kitu gani nikishafahamu nitakuja kutoa majibu
 
Mtu anaweza kuwa na followers 100 wanaotoka karibia nchi 70 duniani na mwingine akawa na followers 300 huku wote wakitoka nchi moja tena 90% wakitoka mji mmoja. Hoja ya msingi ni 'what do they share?'
Nafikiri hii scenario inaweza kuwa hivi maana haiwezekani mtu ambaye hajawahi kufanya chochote tena 'infant' akamzidi mtu kama Edo Kumwenbe ambaye anatengeneza vision ya maelfu kwa maelfu.
Na hii itukumbushe sisi Watanzania hasa vijana kuwa akili zetu zimedumaa kiasi gani, mtu mwenye wazo la maana hawezi kusikilizwa wakati maelfu wakimjalia mwingine ukiwauliza sababu wanasema eti ni sababu 'anavaa nguo ya ndani nyekundu'.

Si ndo maana huko huwa tunapaita zombie land
 
Majority ni wapuuzi sijasema wote.. Na sio huyo mtoto tu mpaka wazazi wake majority ya followers ni kama nyumbu tu.. If they really love Diamond wangempa support hata kwa kufollow hao mabosi wake Diamond Vodacom.. It's a shame uwe ambassador wa brand yenye followers wasiozidi laki moja angali wewe mwenyewe una followers million 2...

Ngoja niendelee kukufunulia unyumbu wa followers wa kitanzania huko kwenye mitandao.. Idris Sultan alivyotoka BBA alifungua brand yake ya Tshirt akaiita Sultanation, dogo hakuweza kuuza hata T-shirt 100 brand ikafa.. Diamond mwenyewe ana brand ya Wasafi ina mpaka chupi na boxer ila binafsi sijawahi kuiona madukani wala kuona mtu amevaa, Wema Sepetu ana hizo lipstick ilifika mahali akapunguza 50% ya price lakini bado hauzi chochote... Tukija kwa wenzetu wenye uelewa, Lebron James mcheza basketball wa NBA ni Ambassador wa Nike ana viatu vyake vinaitwa Lebrons mwaka jana aliuza $ 340 Million (Billion 700 za Kitanzania), Stephen Curry mcheza basket pia alisaidia kampuni ya Under Armor kuongeza soko lake kwa 600% ya total sales kwa raba zake zinazouzwa kwa brand hiyo.. Let alone wanamuziki kama Pdidy na Ciroc na 50 Cent na Effen.. Ninachotaka kukwambia ni kwamba mashabiki, followers wengi wa Kitanzania ni watu wasio na akili sawasawa, wanafki na wasiojielewa.. Ndio maana hata huyo Diamond hataki kutoka Album sababu anajua hatauza chochote maana hawatanunua... Followers wengi wa Instagram na mitandao mingine hawajielewi na hawana akili sawasawa.. Nimesema wengi sijasema wote..
Lord I tried and I tried, and I tried and I tried to make them understand, I tried and I tried but they just can't understand - By Joseph Hill 'Culture'
Sijui uwaambie nini wakuelewe
 
huu ndio ulimbukeni wa vinajana wa siku hizi, mnawaitaga wanaume wa wapi sijui
hapa utashangaa mtoa mada anaambiwa ana wivu wa kike!!!
hawa ndio watu wanaotarajiwa kufikia uchumi wa kati kisa wana rais mtumbua majipu!!!!
mzungu kawaletea intaneti na simu za bei nafuu lakini hawatafuti knowledge bali umbea tu...hahaaaaa
 
NInampenda Diamond sana na ninakuwa proud nikikutana na wanigeria wananiambia kijana wenu ana talent. Lakini hiki cha kujipa jina la Dangote sikielewi, Diamond you are big just by you being Diamond
Mbona ni kawaida tu mtu kutumia jina la mtu anaye mu inspire? ndio maana wengi tumewapa watoto wetu majina ya Bill kwa kuvutiwa na mafanikio ya Bill Gates, au Waren kwa kuvutiwa na Waren Buffet......wapo kina Ronaldo, Kwame, Mandela, Lumumba, Obama n.k.
 
Back
Top Bottom