Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameajiriwa? Aisee watanzania tuna safari ndefu huyo mtoto kumbe ni muajiriwa?Sasa kwani Kinapungua kitu gani huyu mtoto wakimfollow watu?!Ujinga ni kumfollow Tiffah tu?ila ukimfollow Snura majanga ni sawa eti?!
Usichokipenda wewe wenzako wanakipenda!
Halafu Tiffah ni Ambassador wa NMB KID ACCOUNT,MSASANI MALL,PUGU MALL.
Tiffah ni muajiriwa,kuzidi hata nyie munaojishaua humu JF kujifanya werevu,Tiffah kila unachomuona anakivaa au kuendesha vile vigari vyake basi ujue yuko kazini!!
watu wote wanaomfollow hawana akili..ni mazuzuHiyo kauli yako ya kusema eti watu wanaomfollow Tiffah ni hawana akili ndio yenye kuudhi!!
wabongo wengi wanafuatilia umbea tu kwenye hii mitandao ya kijamii ..TCRA bora iufungie instagram...ndio mtandao unaoongoza kwa kuwa na wapuuzi wengiMajority ni wapuuzi sijasema wote.. Na sio huyo mtoto tu mpaka wazazi wake majority ya followers ni kama nyumbu tu.. If they really love Diamond wangempa support hata kwa kufollow hao mabosi wake Diamond Vodacom.. It's a shame uwe ambassador wa brand yenye followers wasiozidi laki moja angali wewe mwenyewe una followers million 2...
Ngoja niendelee kukufunulia unyumbu wa followers wa kitanzania huko kwenye mitandao.. Idris Sultan alivyotoka BBA alifungua brand yake ya Tshirt akaiita Sultanation, dogo hakuweza kuuza hata T-shirt 100 brand ikafa.. Diamond mwenyewe ana brand ya Wasafi ina mpaka chupi na boxer ila binafsi sijawahi kuiona madukani wala kuona mtu amevaa, Wema Sepetu ana hizo lipstick ilifika mahali akapunguza 50% ya price lakini bado hauzi chochote... Tukija kwa wenzetu wenye uelewa, Lebron James mcheza basketball wa NBA ni Ambassador wa Nike ana viatu vyake vinaitwa Lebrons mwaka jana aliuza $ 340 Million (Billion 700 za Kitanzania), Stephen Curry mcheza basket pia alisaidia kampuni ya Under Armor kuongeza soko lake kwa 600% ya total sales kwa raba zake zinazouzwa kwa brand hiyo.. Let alone wanamuziki kama Pdidy na Ciroc na 50 Cent na Effen.. Ninachotaka kukwambia ni kwamba mashabiki, followers wengi wa Kitanzania ni watu wasio na akili sawasawa, wanafki na wasiojielewa.. Ndio maana hata huyo Diamond hataki kutoka Album sababu anajua hatauza chochote maana hawatanunua... Followers wengi wa Instagram na mitandao mingine hawajielewi na hawana akili sawasawa.. Nimesema wengi sijasema wote..
wabongo wengi wanafuatilia umbea tu kwenye hii mitandao ya kijamii ..TCRA bora iufungie instagram...ndio mtandao unaoongoza kwa kuwa na wapuuzi wengi
nili install Instagram kwenye simu nikaing'oa kwa ajili ya upuuzi, hakuna la maana zaidi ya umbea tuWell said... Huu upumbavu wa instagram siuoni twitter kabisa.. Wafungie huu mtandao
nili install Instagram kwenye simu nikaing'oa kwa ajili ya upuuzi, hakuna la maana zaidi ya umbea tu
Umesharudi chinaUjambo lakini.....
Ntaku follow ukipost Yale mambo yetuKumbe rahisi hivo ee,ngoja nami nikafungue yangu.... Utanifolo lakini?[emoji4]
Kitambo sanaUmesharudi china
Kumbe bado hujaacha uongo tuKitambo sana
Uongo gan sasa n pakistan nilienda yaan safari za mwaka jana unaniuliza leo ile i.d yko nyingine playboy babu umeacha kuitumiaKumbe bado hujaacha uongo tu
Id yangu ni moja tu sina nyingine ila kudanganya Kama ni mademu utawapata tu bila uongoUongo gan sasa n pakistan nilienda yaan safari za mwaka jana unaniuliza leo ile i.d yko nyingine playboy babu umeacha kuitumia
Hayo utayapata kwasanaNtaku follow ukipost Yale mambo yetu
Jifunze kuandika vizuri ndio maana mzee alikuja na Elimu ,Elimu,Elimu.Na wewe umemfollow laxima