Princess Tiffah Dangote, followers kibao Instagram

wabongo wote walio instagram pamoja na ww mlembe inawasubiri
 
Ukitaka kuona wajinga wengi na mambumbu nchi hii angalia watu wanaowafollow..
Yaani watu wamekalia kufatilia umbea nchi hii!
 
ameajiriwa? Aisee watanzania tuna safari ndefu huyo mtoto kumbe ni muajiriwa?
 
wabongo wengi wanafuatilia umbea tu kwenye hii mitandao ya kijamii ..TCRA bora iufungie instagram...ndio mtandao unaoongoza kwa kuwa na wapuuzi wengi
 
wabongo wengi wanafuatilia umbea tu kwenye hii mitandao ya kijamii ..TCRA bora iufungie instagram...ndio mtandao unaoongoza kwa kuwa na wapuuzi wengi

Well said... Huu upumbavu wa instagram siuoni twitter kabisa.. Wafungie huu mtandao
 
Wewe ndio huelewi... Watu wengi wanamfolo Tiffah kwasababu anawaburudisha. You just don't know the power of the baby kwenye kufanya watu wenye furaha.

Ukipata mtoto utaelewa..... Otherwise you're blind to these angels.
 
Kwahio na mimi hazimo mana nimemfuata huyo mtoto
 
Kumbe bado hujaacha uongo tu
Uongo gan sasa n pakistan nilienda yaan safari za mwaka jana unaniuliza leo ile i.d yko nyingine playboy babu umeacha kuitumia
 
Uongo gan sasa n pakistan nilienda yaan safari za mwaka jana unaniuliza leo ile i.d yko nyingine playboy babu umeacha kuitumia
Id yangu ni moja tu sina nyingine ila kudanganya Kama ni mademu utawapata tu bila uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…