S service JF-Expert Member Joined May 22, 2014 Posts 3,117 Reaction score 1,150 May 2, 2016 #81 Kurunzi said: Nime google nimeelewa inamaanisha maelfu mfano 10k maana yake ni 10,000. Click to expand... Jahajajajajajajaajauau
Kurunzi said: Nime google nimeelewa inamaanisha maelfu mfano 10k maana yake ni 10,000. Click to expand... Jahajajajajajajaajauau
Migomba JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 945 Reaction score 1,337 May 3, 2016 Thread starter #82 d tarimo said: wabongo wote walio instagram pamoja na ww mlembe inawasubiri Click to expand... Mimi naangalia umuhimu wa mtu kabla ya kum-follow siendi tu kiushabiki, siwezi kumfuata mtoto ambaye hana uwezo wa kupost chochote
d tarimo said: wabongo wote walio instagram pamoja na ww mlembe inawasubiri Click to expand... Mimi naangalia umuhimu wa mtu kabla ya kum-follow siendi tu kiushabiki, siwezi kumfuata mtoto ambaye hana uwezo wa kupost chochote
nanawoo JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 1,309 Reaction score 1,270 May 3, 2016 #83 Peleka insta huku si mahala pake
Migomba JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 945 Reaction score 1,337 May 3, 2016 Thread starter #84 nanawoo said: Peleka insta huku si mahala pake Click to expand... Karibu jamii forums - kama unavyoona hilo neno forums basi humu ziko nyingi ni wewe tu kuchagua jukwaa unalopenda.
nanawoo said: Peleka insta huku si mahala pake Click to expand... Karibu jamii forums - kama unavyoona hilo neno forums basi humu ziko nyingi ni wewe tu kuchagua jukwaa unalopenda.
Paula kilaki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 1,909 Reaction score 1,290 May 3, 2016 #85 Kidingi said: Kwanini ushangae huyo wakati hata marekani kwa wenzetu wakina kardashians wanazaidi ya followers mil 50 (yani zaidi ya watanzania wote, na hakuna la muhimu wanaliifanyia jamii bora hata shilole anawaburudisha watu) Click to expand... Hapo kwa kimK hata me huwa nashangaa, na kama sikosei ndio anaongoza kwa follwer wengi zaidi dunia nzima anao 68.8m
Kidingi said: Kwanini ushangae huyo wakati hata marekani kwa wenzetu wakina kardashians wanazaidi ya followers mil 50 (yani zaidi ya watanzania wote, na hakuna la muhimu wanaliifanyia jamii bora hata shilole anawaburudisha watu) Click to expand... Hapo kwa kimK hata me huwa nashangaa, na kama sikosei ndio anaongoza kwa follwer wengi zaidi dunia nzima anao 68.8m