Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 68
- 106
1. TO BE HUMBLE PERSON ( kuwa mtu mnyenyekevu na mwadilifu ).
Katika mafunzo ya "dao - self defense system" kuna kanuni tano za kujilinda ambazo ni lazima kila mwanafunzi wa DAO ajifunze ili kuongezea ufahamu katika elimu yake ya kujilinda. kanuni namba moja ya kujilinda inasema kuwa mtu mnyenyekevu na mwadilifu, unyenyekevu ni hali ya mtu anaye jifunza mbinu za kujihami, kujishusha kwa watu wengine , hasa kwa watu ambao wanamzidi umri, cheo,uwezo au wazifa wowote ambao watu hao wanao. Aidha unatakiwa ujishushe hata kwa watoto wadogo na watu ambao unawazidi cheo, umri, elimu, mali na kadhalika. Kwaiyo kama wewe ni mwanafunzi au mwalimu wa ( dao - system ) haupaswi kuwa mkorofi, mwizi, mzinzi, muuaji, mteka nyara, tapeli, mpiga mafumbo na kadhalika. Unatakiwa uwe mtu mwema.
( Haki zote zimehifadhiwa )
Kanuni namba mbili itafuata