mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Halafu nenda ukanunue mlimani city wana printer nyingi na bei chee na ya juu.
Hapo hapo karibu na mlimani city nje Kama unaelekea mwenge kuna Mlimani driving school,kuna wajapan wanazo hapo,unaweza kupitia hapo ukaangalia,nimenunua moja hapo na haijanisumbuaUnamaanisha GAME si ndio?
Unamaanisha GAME si ndio?
Mkuu.Mimi ni mdau mkubwa sana katika biashara ya stationery na Studio kwani ninauza vifaa vingi vya stationery na studio, mfano Printer za epson, photo copier machine, cds ,dvds, album, photo frame, hit machine, photo paper,
Rim paper, nk.
Pia km unataka ushauri nitakushauri bure , maana ktk mambo haya kikubwa nikusaidiana ,karibu.
Tel 0766320252
Nb wale munaokuwa na matatizo ya printer hasa za epson msisite kunipigia tutasidiana tu panapo wezekana kusaidiana.