mama dunia
JF-Expert Member
- Dec 22, 2011
- 420
- 84
Hi wanajamii, hope wazima!
Sasa nipeni usaidizi, mdogo wangu anataka kuanzisha bizines ya stationery ikiwemo yakutengeneza invitation cards,sasa nikamshauri kutafuta printer kubwa yenye uwezo mkubwa wa kuprint hizo invitations cards,ingawa yeye anasema hizi za kawaida ambazo huwa tunatumia maofisini zinaweza kufaa ila sina uhakika sana ndo maana naomba ushauri maana dogo ndo kwanza anaanza sasa sipendi apate hasara si mnajua tena...Unaweza kusuggest aina ya printer nk..Thanks
Natanguliza shukrani
M.Dunia