Printer-msaada

Printer-msaada

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi wanajamii, hope wazima!

Sasa nipeni usaidizi, mdogo wangu anataka kuanzisha bizines ya stationery ikiwemo yakutengeneza invitation cards,sasa nikamshauri kutafuta printer kubwa yenye uwezo mkubwa wa kuprint hizo invitations cards,ingawa yeye anasema hizi za kawaida ambazo huwa tunatumia maofisini zinaweza kufaa ila sina uhakika sana ndo maana naomba ushauri maana dogo ndo kwanza anaanza sasa sipendi apate hasara si mnajua tena...Unaweza kusuggest aina ya printer nk..Thanks


Natanguliza shukrani
M.Dunia
 
Kaka kwanza mi nikupongeze kwa kutaka kumsaidia dogo kuondokana na umaskini. Mimi siyo mtaalamu sana ila na mimi nilishauriwa na mtu na ninamshukuru mpaka leo.

Printer nzuri kwa ajili ya biashara ni EPSON tu kwani zinatumia wino vizuri na wa bei nafuu na pia zina software kwa ajili ya matengenezo. Fanya uchanguzi juu ya hili.
 
Hp color laserjet 4500-4550 ni nzuri zinaprint kwa ubora wa hali ya juu ingawa toner zake ni aghali lakini mpaka kubadilisha zinakuwa zimeprint karatasi 6000 muhimu unapochagua printer angalia ubora,spea zake namaanisha drum unit, transfer kit pamoja na tonner zake mpaka unabadilisha wino zinakuwa zimepiga karatasi ngapi unaweza kusearch e bay kwa hiyo printer niliyokuelekeza.
 
wajameni yaani nawashukuru kwa ushauri, angalau napata pa kuanzia, thank you saana
 
Halafu nenda ukanunue mlimani city wana printer nyingi na bei chee na ya juu.
 
Unamaanisha GAME si ndio?
Hapo hapo karibu na mlimani city nje Kama unaelekea mwenge kuna Mlimani driving school,kuna wajapan wanazo hapo,unaweza kupitia hapo ukaangalia,nimenunua moja hapo na haijanisumbua
 
HP Photosmart Plus - 195,000/=
HP Photosmart Premium - 195,000/=

Call: 0784 445 231, 0715 404 040 Business hrs.
 
nimetumia laserjet 3200 miaka 10 sasa lakini sijui kama utaata sasa
 
Kama unataka apate faida kwa asilimia 150% au zaidi nitafute ni PM nikuuzie printer nzuri hakika utanitafuta tena kunishukuru mi mwenyewe naitumia kama hyo
 
Mkuu.Mimi ni mdau mkubwa sana katika biashara ya stationery na Studio kwani ninauza vifaa vingi vya stationery na studio, mfano Printer za epson, photo copier machine, cds ,dvds, album, photo frame, hit machine, photo paper,
Rim paper, nk.

Pia km unataka ushauri nitakushauri bure , maana ktk mambo haya kikubwa nikusaidiana ,karibu.

Tel 0766320252
Nb wale munaokuwa na matatizo ya printer hasa za epson msisite kunipigia tutasidiana tu panapo wezekana kusaidiana.
 
Mkuu.Mimi ni mdau mkubwa sana katika biashara ya stationery na Studio kwani ninauza vifaa vingi vya stationery na studio, mfano Printer za epson, photo copier machine, cds ,dvds, album, photo frame, hit machine, photo paper,
Rim paper, nk.

Pia km unataka ushauri nitakushauri bure , maana ktk mambo haya kikubwa nikusaidiana ,karibu.

Tel 0766320252
Nb wale munaokuwa na matatizo ya printer hasa za epson msisite kunipigia tutasidiana tu panapo wezekana kusaidiana.

Mkuu habari, vipi naweza pata hiti printer kwa ajili ya kuprint smartcard?
 
Back
Top Bottom