Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.

Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.

Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?

Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
 
images.jpeg

yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
 
Ikitokea mashindano ya salamu kati ya onyango na max wetu wa JF. Onyango atashinda kwa shikamoo za kutosha.huku max akidaka salamu za kawaida mambo,niaje,hello,hujambo😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 Tena kazua balaa si kidogo.

Japo namie najiuliza kwani huyo Onyango ana ujana gani eti rafiki? Teh teh
 
Back
Top Bottom