Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
h
๐๐๐๐๐Ule Mchezo, Nyoko Sana
Yaani Anahema Kama Chura!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐Ule Mchezo, Nyoko Sana
Yaani Anahema Kama Chura!!!!
Bando lenyewe la mawazo hili,kwenda huko si ni balaa mkuu?gugo mkuu.
Wanaume wa Dar hakuna demu mbaya. Wewe unayo K?...wachezaji wa Mikia wamekauka kama kashata..wakavuuu kama kile Kizimbwe khaaadaah huyu demu alivyo na sura bayaaa pua kama sokwe anawezaje kucheka sura ya mwanaume
Ungenogesha huu uzi kwa kuweka picha yakeNimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.
Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.
Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?
Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
Yupi Kiongozi??Kwani ana miaka mingapi huyo?
Kwa Wilshire nini kilitokea mkuu?KwwKwe sura Andy Grayy wa Leicester City Anamshinda Messi ila shughuli uwanjani kilichompoza Jack Wilshire Ni Sura mpaka leo maybe huko Tanzania Kama mnaangalia sura na pia wanaoangalia sura za wezao wao pia hawana tofauti na binadamu wa kale kisayansi hiyo
. Kabla Jack hajaota ndevu alikuwa na hb balaa Sasa Kuna Kuna club ipo London inaitwa Marry Club Sasa jack hiyo club ilimpoza alikuwa akiitwa hb akavimba kichwa utozi mpaka uwanjani mwisho akaanza sigara uwanjani na mwisho kabisa tumemsahau sahivi mkuu hata cjui anachezea club ganiKwa Wilshire nini kilitokea mkuu?
Duuh!! kapotea kabisa yaani. Kabla Jack hajaota ndevu alikuwa na hb balaa Sasa Kuna Kuna club ipo London inaitwa Marry Club Sasa jack hiyo club ilimpoza alikuwa akiitwa hb akavimba kichwa utozi mpaka uwanjani mwisho akaanza sigara uwanjani na mwisho kabisa tumemsahau sahivi mkuu hata cjui anachezea club gani
. Safari yake ndo imeisha kirahisi kabisaDuuh!! kapotea kabisa yaani
Duuh aiseeRafiki kizaa zaa kimeanzia hapa. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1598879
Thati thirii kwa twenti seveni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariii[emoji23][emoji23]kwaiyo huyo Onyango akikutana na huyo mwenye njano atamuamkia shikamoo blaza?[emoji23]
Hahaaa washabiki maandazi wamegeuza hoja imekuwa sura sasa badala ya umriTunamtaka Onyango atuambie umri wake kamili
Ndo ivo best.Duuh aisee
Hahaaa kweli JF is never boring[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyuma rudi peke ako.