balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mbona karembo jamani!View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona karembo jamani!View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK wala asikusumbue Mkuu kwani Historia yake ya Kimaisha hadi hapo alipo naijua ndani nje. Zamani alikuwa akiuza Mayai kutoka Mbagala hadi maeneo ya Mikocheni huku akiwa anavalia tu Nguo Moja hiyo hiyo ( Kauka Nikuvae ) 24/7 na alipokuwa akibahatika tu Kuuza hayo Mayai ndiyo akirejea zake Mbagala.Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.
Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.
Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?
Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
QUOTE]huyo kakosa tu connection ya babu onyango ndo maana ana hasira na matusi ,angempiga paipu atakuja tena kwenye media kumwita onyango babyInasemekana mademu wabaya ni watamu
Akikosa kabisa atakuwa na miaka 50[emoji23][emoji23][emoji23] Tena kazua balaa si kidogo.
Japo namie najiuliza kwani huyo Onyango ana ujana gani eti rafiki? Teh teh
Kwani Mzee wa digirii 4 wa kyela ndio anamiliki?View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Umeeandika upupu, hujielewi By the way kila mtu ana historia yake ya kutafta mkate wa kila sku..hyo ni yake na sio aibu....pumbavu wewHuyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK wala asikusumbue Mkuu kwani Historia yake ya Kimaisha hadi hapo alipo naijua ndani nje. Zamani alikuwa akiuza Mayai kutoka Mbagala hadi maeneo ya Mikocheni huku akiwa anavalia tu Nguo Moja hiyo hiyo ( Kauka Nikuvae ) 24/7 na alipokuwa akibahatika tu Kuuza hayo Mayai ndiyo akirejea zake Mbagala.
Najua haya ninayoandika hapa 100% ya Wafanyakazi wa CMG wanajua na hata 'Entertainment Genius' Marehemu Ruge Mutahaba huko aliko anaungana nami katika 'Uhalisia' wake huu huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK anayetaka Kucheza na Watu wa Simba SC ambao amesahau kuwa tunamjua vyema tu tena kuliko vile ambavyo Yeye anajijua.
Kuna muda kwa Mazingira aliyokuwa nayo alipokuwa akienda Kutembeza 'Mayai' yake pale CMG baadhi ya Wafanyakazi wa Kike walikuwa 'wakimwepa' japo wengine walimvumilia tu kutokana na Kumuonea Huruma na nimeshangaa sana leo hii kuona kabadilika hivi Kitabia. Hata huko Mbagala alikokuwa akiishi alikuwa akikosa mahala pa Kulala na alikuwa akilala tu kwa Watu kwa Kuomba na Kuonewa Huruma.
Ni Mwenyeji wa Kigoma ( Bandeko Nangai ) wa Kabila la Waha ( Muha ) na Yeye ndiyo 'Family Breadwinner' pia tokea alikokuwa akiuza 'Mayai' barabarani kwa Kuyatembeza na haishangazi hata Kuona 'amekomaa' sana Miguu yake kwani kwa 'Ruti' za Kukatiza Mitaa alizokuwa akizifanya ni lazima tu angekuwa 'Mkomavu' hivyo ukichanganya na Kabila lake la Waha ambao pia 'Kiasili' ni Watani zangu Wakubwa sana.
Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika katika Msiba wa Ruge Mutahaba itakuwa 'alilia' na 'ulimuuma' mno basi atakuwa ni huyu Mtangazaji. Wakati alipokuwa akienda sana pale CMG Kuuza Kichocheo cha Kujamba ( Mayai ) Marehemu Ruge kama kawaida yake akiwa ni 'Mvumbua Vipaji' aliweza Kuisikia Sauti yake ndipo akamuomba Mkuu wa Michezo CMG Kipindi hiko Shaffih Dauda akae nae na Wampike zaidi.
Kutokana na Maisha magumu aliyokuwa nayo huyu Mtangazaji baada ya Marehemu Ruge Kuagiza hivyo hasa kwa Kumuonea Huruma kuna Siku alimwita huyu Mtangazaji Ofisini Kwake kisha akampa Maelekezo apeleke kwa Mhasibu wa CMG ambapo Ruge alimuombea Mkopo wa Hela kama Milioni 3 au 5 ya Yeye kuanzia Maisha ambapo hiyo Siku huyu Mtangazaji aliyetaabika hakuamini na alizimia pale Ofisini.
Kweli baada ya Watu wa Kitengo cha Michezo kutii 'Maagizo' ya Marehemu Boss Ruge juu ya huyu Mtangazaji ambaye kiukweli ana Sauti nzuri wakaanza kumpa nafasi ya Kutangaza hapo Vipindi vya Michezo akiungana na Mwanadada mwingine aliyekuwepo pekee katika Kipindi hiko Fatma Likwata. Na tokea hapo ndiyo Safari yake ikaanza na Maisha yake yakabadilika hadi leo hii anakuwa Jeuri akisahau alikotoka.
Baada ya Kufanikiwa kupitia 'Maono' ya 'Boss Ruge' Kwake na kuanza nae kuwa Mtangazaji na kupata 'Exposure' huku akijulikana na Watu ( Wadau ) Mtangazaji huyu alipata 'Zari' la Kupendwa na Waziri Mwandamizi mmoja wa Serikali hii ya Dkt. Magufuli ambapo pamoja na Wadau Kumuonya / Kumkanya kuwa Waziri huyo tayari 'analikung'uta' vizuri kabisa Gitaa la Dally Kimoko ( Kaathirika ) Kitambo Yeye hakuwasikia.
Ndipo baadae akaanzisha 'Mahusiano' na huyo Waziri Mwandamizi ambaye naye huyo Waziri kwa 'Kupagawa' na 'Mahaba' ya huyu Mtangazaji akaamua Kumjengea Nyumba nzuri tu na ya 'Kifahari' huko Changanyikeni anakoishi sasa na kuona haitoshi huyu Waziri akaamua Kumjengea Mama yake huyu Mtangazaji Nyumba huko Kwao Kigoma na Kumnunulia Gari zuri alilonalo sasa huyu Mtangazaji Mnafiki.
RAI yangu nikimalizia ni kwamba kama unajijua umekulia Maisha ya taabu na dhiki ukija Kufanikiwa usitake Kudharau wanaokujua na waliokuokoa.
Aisee,watu wanatoka mbali sanaHuyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK wala asikusumbue Mkuu kwani Historia yake ya Kimaisha hadi hapo alipo naijua ndani nje. Zamani alikuwa akiuza Mayai kutoka Mbagala hadi maeneo ya Mikocheni huku akiwa anavalia tu Nguo Moja hiyo hiyo ( Kauka Nikuvae ) 24/7 na alipokuwa akibahatika tu Kuuza hayo Mayai ndiyo akirejea zake Mbagala.
Najua haya ninayoandika hapa 100% ya Wafanyakazi wa CMG wanajua na hata 'Entertainment Genius' Marehemu Ruge Mutahaba huko aliko anaungana nami katika 'Uhalisia' wake huu huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK anayetaka Kucheza na Watu wa Simba SC ambao amesahau kuwa tunamjua vyema tu tena kuliko vile ambavyo Yeye anajijua.
Kuna muda kwa Mazingira aliyokuwa nayo alipokuwa akienda Kutembeza 'Mayai' yake pale CMG baadhi ya Wafanyakazi wa Kike walikuwa 'wakimwepa' japo wengine walimvumilia tu kutokana na Kumuonea Huruma na nimeshangaa sana leo hii kuona kabadilika hivi Kitabia. Hata huko Mbagala alikokuwa akiishi alikuwa akikosa mahala pa Kulala na alikuwa akilala tu kwa Watu kwa Kuomba na Kuonewa Huruma.
Ni Mwenyeji wa Kigoma ( Bandeko Nangai ) wa Kabila la Waha ( Muha ) na Yeye ndiyo 'Family Breadwinner' pia tokea alikokuwa akiuza 'Mayai' barabarani kwa Kuyatembeza na haishangazi hata Kuona 'amekomaa' sana Miguu yake kwani kwa 'Ruti' za Kukatiza Mitaa alizokuwa akizifanya ni lazima tu angekuwa 'Mkomavu' hivyo ukichanganya na Kabila lake la Waha ambao pia 'Kiasili' ni Watani zangu Wakubwa sana.
Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika katika Msiba wa Ruge Mutahaba itakuwa 'alilia' na 'ulimuuma' mno basi atakuwa ni huyu Mtangazaji. Wakati alipokuwa akienda sana pale CMG Kuuza Kichocheo cha Kujamba ( Mayai ) Marehemu Ruge kama kawaida yake akiwa ni 'Mvumbua Vipaji' aliweza Kuisikia Sauti yake ndipo akamuomba Mkuu wa Michezo CMG Kipindi hiko Shaffih Dauda akae nae na Wampike zaidi.
Kutokana na Maisha magumu aliyokuwa nayo huyu Mtangazaji baada ya Marehemu Ruge Kuagiza hivyo hasa kwa Kumuonea Huruma kuna Siku alimwita huyu Mtangazaji Ofisini Kwake kisha akampa Maelekezo apeleke kwa Mhasibu wa CMG ambapo Ruge alimuombea Mkopo wa Hela kama Milioni 3 au 5 ya Yeye kuanzia Maisha ambapo hiyo Siku huyu Mtangazaji aliyetaabika hakuamini na alizimia pale Ofisini.
Kweli baada ya Watu wa Kitengo cha Michezo kutii 'Maagizo' ya Marehemu Boss Ruge juu ya huyu Mtangazaji ambaye kiukweli ana Sauti nzuri wakaanza kumpa nafasi ya Kutangaza hapo Vipindi vya Michezo akiungana na Mwanadada mwingine aliyekuwepo pekee katika Kipindi hiko Fatma Likwata. Na tokea hapo ndiyo Safari yake ikaanza na Maisha yake yakabadilika hadi leo hii anakuwa Jeuri akisahau alikotoka.
Baada ya Kufanikiwa kupitia 'Maono' ya 'Boss Ruge' Kwake na kuanza nae kuwa Mtangazaji na kupata 'Exposure' huku akijulikana na Watu ( Wadau ) Mtangazaji huyu alipata 'Zari' la Kupendwa na Waziri Mwandamizi mmoja wa Serikali hii ya Dkt. Magufuli ambapo pamoja na Wadau Kumuonya / Kumkanya kuwa Waziri huyo tayari 'analikung'uta' vizuri kabisa Gitaa la Dally Kimoko ( Kaathirika ) Kitambo Yeye hakuwasikia.
Ndipo baadae akaanzisha 'Mahusiano' na huyo Waziri Mwandamizi ambaye naye huyo Waziri kwa 'Kupagawa' na 'Mahaba' ya huyu Mtangazaji akaamua Kumjengea Nyumba nzuri tu na ya 'Kifahari' huko Changanyikeni anakoishi sasa na kuona haitoshi huyu Waziri akaamua Kumjengea Mama yake huyu Mtangazaji Nyumba huko Kwao Kigoma na Kumnunulia Gari zuri alilonalo sasa huyu Mtangazaji Mnafiki.
RAI yangu nikimalizia ni kwamba kama unajijua umekulia Maisha ya taabu na dhiki ukija Kufanikiwa usitake Kudharau wanaokujua na waliokuokoa.
Duh we mzee unasema degree 4 zile ziko zinatulizwa hapo??? BwahahahaaaaView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
hiyo ni posho ya mzee kutoka vyombo vya habariDuh we mzee unasema degree 4 zile ziko zinatulizwa hapo??? Bwahahahaaaa
Tena asingetabasamu nisingejua kama pana mtu hapo ni meno tu yamesaidia uwepo wake.View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Wanaomtetea watakuwa nao ni wazee wenzie sio bure. 🏃♀️🏃♀️
Kwa level ya Tanzania, kusajiri wachezaji wa aina hii ,ni sawa tuKwa hiyo mchezaji mpya wa Yanga anamzidi Onyango miaka 6,maajabu hayaishi Duniani
Inawezekana ana matundu classicView attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
Kama anatoka na mzee wa Degree 4 basi kishaungua. Ajiandae kula Minjingu.View attachment 1598861
yeye huyu apa,hapo kajitahidi kuchuja picha nzuri. Mzee wa Degree 4 sijui kakapendea nini haka
JF..Where we dare to talk OpenelyHuyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK wala asikusumbue Mkuu kwani Historia yake ya Kimaisha hadi hapo alipo naijua ndani nje. Zamani alikuwa akiuza Mayai kutoka Mbagala hadi maeneo ya Mikocheni huku akiwa anavalia tu Nguo Moja hiyo hiyo ( Kauka Nikuvae ) 24/7 na alipokuwa akibahatika tu Kuuza hayo Mayai ndiyo akirejea zake Mbagala.
Najua haya ninayoandika hapa 100% ya Wafanyakazi wa CMG wanajua na hata 'Entertainment Genius' Marehemu Ruge Mutahaba huko aliko anaungana nami katika 'Uhalisia' wake huu huyu Mwanamke ( Mtangazaji ) PK anayetaka Kucheza na Watu wa Simba SC ambao amesahau kuwa tunamjua vyema tu tena kuliko vile ambavyo Yeye anajijua.
Kuna muda kwa Mazingira aliyokuwa nayo alipokuwa akienda Kutembeza 'Mayai' yake pale CMG baadhi ya Wafanyakazi wa Kike walikuwa 'wakimwepa' japo wengine walimvumilia tu kutokana na Kumuonea Huruma na nimeshangaa sana leo hii kuona kabadilika hivi Kitabia. Hata huko Mbagala alikokuwa akiishi alikuwa akikosa mahala pa Kulala na alikuwa akilala tu kwa Watu kwa Kuomba na Kuonewa Huruma.
Ni Mwenyeji wa Kigoma ( Bandeko Nangai ) wa Kabila la Waha ( Muha ) na Yeye ndiyo 'Family Breadwinner' pia tokea alikokuwa akiuza 'Mayai' barabarani kwa Kuyatembeza na haishangazi hata Kuona 'amekomaa' sana Miguu yake kwani kwa 'Ruti' za Kukatiza Mitaa alizokuwa akizifanya ni lazima tu angekuwa 'Mkomavu' hivyo ukichanganya na Kabila lake la Waha ambao pia 'Kiasili' ni Watani zangu Wakubwa sana.
Kama kuna Mtu ambaye nina uhakika katika Msiba wa Ruge Mutahaba itakuwa 'alilia' na 'ulimuuma' mno basi atakuwa ni huyu Mtangazaji. Wakati alipokuwa akienda sana pale CMG Kuuza Kichocheo cha Kujamba ( Mayai ) Marehemu Ruge kama kawaida yake akiwa ni 'Mvumbua Vipaji' aliweza Kuisikia Sauti yake ndipo akamuomba Mkuu wa Michezo CMG Kipindi hiko Shaffih Dauda akae nae na Wampike zaidi.
Kutokana na Maisha magumu aliyokuwa nayo huyu Mtangazaji baada ya Marehemu Ruge Kuagiza hivyo hasa kwa Kumuonea Huruma kuna Siku alimwita huyu Mtangazaji Ofisini Kwake kisha akampa Maelekezo apeleke kwa Mhasibu wa CMG ambapo Ruge alimuombea Mkopo wa Hela kama Milioni 3 au 5 ya Yeye kuanzia Maisha ambapo hiyo Siku huyu Mtangazaji aliyetaabika hakuamini na alizimia pale Ofisini.
Kweli baada ya Watu wa Kitengo cha Michezo kutii 'Maagizo' ya Marehemu Boss Ruge juu ya huyu Mtangazaji ambaye kiukweli ana Sauti nzuri wakaanza kumpa nafasi ya Kutangaza hapo Vipindi vya Michezo akiungana na Mwanadada mwingine aliyekuwepo pekee katika Kipindi hiko Fatma Likwata. Na tokea hapo ndiyo Safari yake ikaanza na Maisha yake yakabadilika hadi leo hii anakuwa Jeuri akisahau alikotoka.
Baada ya Kufanikiwa kupitia 'Maono' ya 'Boss Ruge' Kwake na kuanza nae kuwa Mtangazaji na kupata 'Exposure' huku akijulikana na Watu ( Wadau ) Mtangazaji huyu alipata 'Zari' la Kupendwa na Waziri Mwandamizi mmoja wa Serikali hii ya Dkt. Magufuli ambapo pamoja na Wadau Kumuonya / Kumkanya kuwa Waziri huyo tayari 'analikung'uta' vizuri kabisa Gitaa la Dally Kimoko ( Kaathirika ) Kitambo Yeye hakuwasikia.
Ndipo baadae akaanzisha 'Mahusiano' na huyo Waziri Mwandamizi ambaye naye huyo Waziri kwa 'Kupagawa' na 'Mahaba' ya huyu Mtangazaji akaamua Kumjengea Nyumba nzuri tu na ya 'Kifahari' huko Changanyikeni anakoishi sasa na kuona haitoshi huyu Waziri akaamua Kumjengea Mama yake huyu Mtangazaji Nyumba huko Kwao Kigoma na Kumnunulia Gari zuri alilonalo sasa huyu Mtangazaji Mnafiki.
RAI yangu nikimalizia ni kwamba kama unajijua umekulia Maisha ya taabu na dhiki ukija Kufanikiwa usitake Kudharau wanaokujua na waliokuokoa.
Kana sana chachuView attachment 1598861