Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Tatizo jingine ninaloliona limekua kubwa sana,mashabiki wengi wa utopolo wanaweza kuwa na tabia za kishoga.

Utaona hata maoni yao kuhusu jezi.Ni kama wangetamani zitengenezwe blauzi,hapo watasifia sana.
Sasa suala ni ajabu wavulana na mijike ya yanga wakijadili sura ya mwanaume wa Kazi na wakitaka warembo kwenye soka.Mnataka kuanza kudai haki sawa na kwenye soka?
 
Ikitokea mashindano ya salamu kati ya onyango na max wetu wa JF. Onyango atashinda kwa shikamoo za kutosha.huku max akidaka salamu za kawaida mambo,niaje,hello,hujambo😂😂😂😂😂😂
Umefanya nimecheka. Lol.

Rafiki au ulaji na maiyiinvairomenttii nayo yanasababisha kuzeeka huku bado mtu ni kijana. 😂😂😂
 
Halafu hawajaifafanua point ya prisca vizuri. Prrusca anataka umri sahihi wa onyango na sio sura yake
Yeleeeuwiiii!! Rafiki unaleta kizaa zaa ingine huku. 😂😂😂

Umefanya nimecheka. Lol.

Rafiki au ulaji na maiyiinvairomenttii nayo yanasababisha kuzeeka huku bado mtu ni kijana. 😂😂😂
 
Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.

Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.

Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?

Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
Mkuu utani wa huko IG mbona kawaida sana,ungekuwa unaona utani wa Oscar Oscar JR si ungeitisha maandamano kabisa? Uspanic saaana na kupoteza muda kuwaza mambo ya mitandaoni
 
Mkuu utani wa huko IG mbona kawaida sana,ungekuwa unaona utani wa Oscar Oscar JR si ungeitisha maandamano kabisa? Uspanic saaana na kupoteza muda kuwaza mambo ya mitandaoni
😂😂😂 Mkuu na usikute Onyango mwenyewe hata hajui kama wapo watu wanaomlilia namna hii. 😂😂
 
Back
Top Bottom