Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

Prisca Kishamba unaanzisha vita vya mawe nawe unaishi nyumba ya vioo?

daah huyu demu alivyo na sura bayaaa pua kama sokwe anawezaje kucheka sura ya mwanaume
Wanaume wa Dar hakuna demu mbaya. Wewe unayo K?...wachezaji wa Mikia wamekauka kama kashata..wakavuuu kama kile Kizimbwe khaaa
 
Nimesikitishwa na post yako moja ukilinganisha sura ya Onyango na mchezaji mpya alieyesajiliwa Yanga.
Lengo lako ni kuonesha jinsi sura ya onyango aliyesemwa ana miaka 27 na huyo wa yanga akiwa na 33.Kwa ujumla nia iliyokutuma kufanya hivyo ni ubaguzi wa sura kavu na laini.

Kwangu mimi si tatizo maana unatarajia mwanaume awe mrembo?Kwa Onyango sioni kama ni tatizo na hata kwetu madhabiki sio tatizo.Maana soka sio bongo muvi.

Tatizo langu ni pale unapoonesha kucheka ama kudhihaki sura ya Onyango wakati wewe mwenyewe uko mule mule.
Sijui umri wako,lakini ukimchukua Mange Kimambi na wewe mnaonekana mna rika moja au umemzidi kidogo.
Hata hivyo mimi nakupenda sana ukiwa kama mwanamke.Singependa mtu akusimange kwa sura yako kama kidume.Ni kwa sababu naheshimu sana kazi ya Mungu.
Sasa mpendwa wangu,kwa nini unaongoza tabia hii ya kushambulia maumbile ya watu huku ukusahau na wewe ni muhanga wa changamoto kama hiyo?

Acha dada usije ukaona watu hawakushambulii ni kwa vile wanakuona mnyenyekevu.Ila ujue hata picha zako hupendezi na ukianza kubagua watu hivi,utalizwa na maneno ya watu dhidi yako .Kumbuka kuna watu wanajiona malaika
Ungenogesha huu uzi kwa kuweka picha yake
 
Hakuna haja ya kwenda Kenya kumtafuta mama yake atwambia umri wake huyo Onyango ni kibabu ole wake asivunjike mguu maana hautaunga kutokana na umri mkubwa alio nao zaidi ya miaka 38
 
KwwKwe sura Andy Grayy wa Leicester City Anamshinda Messi ila shughuli uwanjani kilichompoza Jack Wilshire Ni Sura mpaka leo maybe huko Tanzania Kama mnaangalia sura na pia wanaoangalia sura za wezao wao pia hawana tofauti na binadamu wa kale kisayansi hiyo
 
Kwa Wilshire nini kilitokea mkuu?
 
Kwa Wilshire nini kilitokea mkuu?
. Kabla Jack hajaota ndevu alikuwa na hb balaa Sasa Kuna Kuna club ipo London inaitwa Marry Club Sasa jack hiyo club ilimpoza alikuwa akiitwa hb akavimba kichwa utozi mpaka uwanjani mwisho akaanza sigara uwanjani na mwisho kabisa tumemsahau sahivi mkuu hata cjui anachezea club gani
 
Duuh!! kapotea kabisa yaani
 
Back
Top Bottom