Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Habari za jioni wanajamii hatimae siku ya jana nimefanikiwa kumaliza kutizama prison break season 4 nipo tayari kwa ajili ya season 5 kwa dondoo za hapa na pale nimeona ndugu yetu michael na linc wanajikuta gerezani tena
Kwa ambao mlishatafuna tayari season zote 5 karibuni mtuhadithie yanayojiri huko kabla ya kufikia kuyatazama
Kuna baadhi ya mijadara ya kuwalinganisha michael na proffessor nani mkali, kwa maoni yangu naona michael yuko mbele ya prof ijapokuwa prof series yake nimecheki season moja tu i hope nimalize pb nimuone prof pia full series