PRISON BREAK SEASON 1, 2, 3, 4

PRISON BREAK SEASON 1, 2, 3, 4

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za jioni wanajamii hatimae siku ya jana nimefanikiwa kumaliza kutizama prison break season 4 nipo tayari kwa ajili ya season 5 kwa dondoo za hapa na pale nimeona ndugu yetu michael na linc wanajikuta gerezani tena
Kwa ambao mlishatafuna tayari season zote 5 karibuni mtuhadithie yanayojiri huko kabla ya kufikia kuyatazama
Kuna baadhi ya mijadara ya kuwalinganisha michael na proffessor nani mkali, kwa maoni yangu naona michael yuko mbele ya prof ijapokuwa prof series yake nimecheki season moja tu i hope nimalize pb nimuone prof pia full series
 
Aloo, mi nimeangalia hio sijui 2011
Umesema
20250118_090349.jpg
 
Mshamba kweli,,,, hio tumeangalia 10+years back! Kina scofield sasa wameshazeeka unakuja kuiandikia uzi hapa 2025
 
Habari za jioni wanajamii hatimae siku ya jana nimefanikiwa kumaliza kutizama prison break season 4 nipo tayari kwa ajili ya season 5 kwa dondoo za hapa na pale nimeona ndugu yetu michael na linc wanajikuta gerezani tena
Kwa ambao mlishatafuna tayari season zote 5 karibuni mtuhadithie yanayojiri huko kabla ya kufikia kuyatazama
Kuna baadhi ya mijadara ya kuwalinganisha michael na proffessor nani mkali, kwa maoni yangu naona michael yuko mbele ya prof ijapokuwa prof series yake nimecheki season moja tu i hope nimalize pb nimuone prof pia full series
Ukimaliza hiyo angalia Breaking Bad, achana na hiyo ya Profesa, ni miyeyusho tu
 
Mshamba mke wako anatembea na bodaboda
Mm ndio nimeingalia sasa hivi ndugu yangu sasa ushamba hapo unatoka wapi?
Mh! mbona mapema sana vita imeanza kurushiwa ballistic!
 
Mshamba mke wako anatembea na bodaboda
Mm ndio nimeingalia sasa hivi ndugu yangu sasa ushamba hapo unatoka wapi?
Boda boda si binadam nae ndugu, unataka aponee wapi nae ? Kwani ile inaishaga ?
 
Back
Top Bottom