Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
I am not in danger Skyler, I am the danger.Breaking Bad nimeshaiangalia zaidi ya mara 5, na ni the best kweli.
Heisenberg: Jesse we need to cook.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am not in danger Skyler, I am the danger.Breaking Bad nimeshaiangalia zaidi ya mara 5, na ni the best kweli.
Heisenberg: Jesse we need to cook.
Thats the best scene, jamaa alikuja kuwa mwanaume kweli, hiyo statement ilionyesha dominance kwa mke wake, na ndiyo maana alistick na jamaa mpaka mwisho.I am not in danger, I am the danger.
"F**k You And Your Eyebrows" boss wake alishangaa sana kuskia maneno haya yakitoka kwa Walter [emoji16][emoji16][emoji16]I am not in danger Skyler, I am the danger.
Fikra zangu zilikuwa sahihi kujua kuwa hukumaliza. Zinakatisha tamaa ila ukikomaa nazo ukaangalia mpaka mwisho utajikuta ukitamani zisingefika mwisho, yaani ziendelee tu. Mimi GOT nimeangalia mwaka jana 2021, nilikuwa sijawahi kuielewa hata kidogo, niliipata ikiwa complete, nikaicheki na kugundua kuwa nilikosa burudani muda mrefu. Angalia tena uzimalize hizo, hutajutiaBB nimeicheki season 1 nikaacha, GOT nimecheki season 2
Skinny Pete:Yoooo Jesse' that blue meth you guys are cooking it's a bomb..out of this world.Breaking Bad nimeshaiangalia zaidi ya mara 5, na ni the best kweli.
Heisenberg: Jesse we need to cook.
Mwamba ana sura ya upole ila moyo wa kikatili sanaGustavo fringe
Carrie wa Homeland anauliza, what if I am the only 1 who is right?Kwahiyo ukiona Katika watu 100, 95 Kati ya hao wanasema kitu Fulani ni kizuri na hao wa5 wanasema kibaya basi shida haipo kwa wale 95 bali kwa hao 5
Sio kweli kuwa ilipromotiwa sana, ni yenyewe tu ilijiuza mkuu. Yaani ni kweli ilikuwa ni kali sana. Kwa nini nasema haikuwa na promo, sababu hata FOX hawakuamini kama itakuwa kali, waliirekodi kama mbadala tu wakashangaa ngoma imekubalika balaaOya prison break ni kali ila sio masterpiece kwa kiwango cha kuzipiga gap show kali ni vile tu ilipewa airtime yakutosha waliipromote sana kipindi kile inatoka kwaiyo tulikua tunaona hakuna mzigo mkali kuliko prison break ila sio kweli
Kajamaa kama kalokole vile..ila katili balaa.Gustavo fringe
Nilicheka sana kwenye ile episode ambayo kametegewa BomuKajamaa kama kalokole vile..ila katili balaa.
Sema mwisho ilinihuzunisha mpaka nilitamani kuacha kuangalia kabisa. Kifo cha Hank kiliniuma sanaBreaking Bad, ni series nzuri sana.
Unapozidi kuiangalia unatamani isiishe.
Ile shot walifanya zaidi ya mara 8 aisee, na utaalamu wa kutosha kumtoa Fring vile alivyokuwa baada ya bomu. Angalia hapa jinsi walivyorekodiNilicheka sana kwenye ile episode ambayo kametegewa Bomu
Baada ya mlipuko kanatoka nje ya ile ward alafu kanajirekebisha Tai wakati huo camera imekaa upande mmoja na kanaonekana Kako fresh tu
Watu tukajua kuwa kame survive na kuanza kulaani kumbe upande wa pili ndipo kuna Athari za Bomu na kamelipuka nusu USO
Baada ya kurekebisha Tai ghafra tunaona kajamaa kakaanguka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Niliangalia kile kipande zaidi ya mara 10 nikiwa nacheka sanaaaaa
Kwenye HOMELAND wengi walisikitika na wengine kuacha kabisa kuangalia baada ya BRYOD kufa kwa kunyongwa. Ndio msisimko wenyewe wa movie, kuwavika watazamaji hisia kuona jambo kama halisi kabisa, kufurahi na kuhuzunika.Sema mwisho ilinihuzunisha mpaka nilitamani kuacha kuangalia kabisa. Kifo cha Hank kiliniuma sana
Hata mimi hapo nilishtuka nikasema mwamba hajafa..ila kamera ilivyobadilika nilicheka kinoma.Nilicheka sana kwenye ile episode ambayo kametegewa Bomu
Baada ya mlipuko kanatoka nje ya ile ward alafu kanajirekebisha Tai wakati huo camera imekaa upande mmoja na kanaonekana Kako fresh tu
Watu tukajua kuwa kame survive na kuanza kulaani kumbe upande wa pili ndipo kuna Athari za Bomu na kamelipuka nusu USO
Baada ya kurekebisha Tai ghafra tunaona kajamaa kakaanguka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Niliangalia kile kipande zaidi ya mara 10 nikiwa nacheka sanaaaaa
Yaani Skinny aliigiza kama ana miaka 28 hivi na ilhali ni mtu mzima now ana miaka 52. Kwenye El Camino ya mwaka 2019 ameigiza poa sana piaSkinny Pete:Yoooo Jesse' that blue meth you guys are cooking it's a bomb..out of this world.
@UMUGHAKA unapoangalia Breaking bad tuliza kichwa don't miss tukio lolote lile maana ndio utamu ulipo, nimeangalia prison break sikuwahi kuamini hata siku moja kuwa kuna series itakuja kuipiku PB Kwa ukali mpaka mwaka 2018 ndio nikagundua NEVER SAY NEVER.Mkuu The Knowledge Seeker nimeamua kupoteza muda kuitazama ili nijiridhishe maana nimekuwa nikisema Hakuna Series kali kama Prison Break ila naishia kutukanwa kwamba sizijui series kali na wanasema bila kupepesa Macho ya kwamba Breaking Bad ni bonge moja la series,ndiyo maana nataka ninihakikishie halafu nitakuja na conclusion,Mpaka sasa kwa hizi season 1 kila upande,kwakweli PRISON BREAK naipa 10/10 na hiyo BREAKING BAD naipa 2.9/10.