Prison Break vs Breaking Bad

Prison Break vs Breaking Bad

BB nimeicheki season 1 nikaacha, GOT nimecheki season 2
Fikra zangu zilikuwa sahihi kujua kuwa hukumaliza. Zinakatisha tamaa ila ukikomaa nazo ukaangalia mpaka mwisho utajikuta ukitamani zisingefika mwisho, yaani ziendelee tu. Mimi GOT nimeangalia mwaka jana 2021, nilikuwa sijawahi kuielewa hata kidogo, niliipata ikiwa complete, nikaicheki na kugundua kuwa nilikosa burudani muda mrefu. Angalia tena uzimalize hizo, hutajutia
 
Kwahiyo ukiona Katika watu 100, 95 Kati ya hao wanasema kitu Fulani ni kizuri na hao wa5 wanasema kibaya basi shida haipo kwa wale 95 bali kwa hao 5
Carrie wa Homeland anauliza, what if I am the only 1 who is right?
 
Oya prison break ni kali ila sio masterpiece kwa kiwango cha kuzipiga gap show kali ni vile tu ilipewa airtime yakutosha waliipromote sana kipindi kile inatoka kwaiyo tulikua tunaona hakuna mzigo mkali kuliko prison break ila sio kweli
Sio kweli kuwa ilipromotiwa sana, ni yenyewe tu ilijiuza mkuu. Yaani ni kweli ilikuwa ni kali sana. Kwa nini nasema haikuwa na promo, sababu hata FOX hawakuamini kama itakuwa kali, waliirekodi kama mbadala tu wakashangaa ngoma imekubalika balaa
 
Kuna bosi wangu aliwahi kuniambia kama napenda Chemistry nitazame Breaking Bad, nilijua ni move nikaichukulia poa ila baada ya kuipa muda niliielewa sana
 
Kajamaa kama kalokole vile..ila katili balaa.
Nilicheka sana kwenye ile episode ambayo kametegewa Bomu

Baada ya mlipuko kanatoka nje ya ile ward alafu kanajirekebisha Tai wakati huo camera imekaa upande mmoja na kanaonekana Kako fresh tu

Watu tukajua kuwa kame survive na kuanza kulaani kumbe upande wa pili ndipo kuna Athari za Bomu na kamelipuka nusu USO

Baada ya kurekebisha Tai ghafra tunaona kajamaa kakaanguka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Niliangalia kile kipande zaidi ya mara 10 nikiwa nacheka sanaaaaa
 
Ile shot walifanya zaidi ya mara 8 aisee, na utaalamu wa kutosha kumtoa Fring vile alivyokuwa baada ya bomu. Angalia hapa jinsi walivyorekodi

Sema mwisho ilinihuzunisha mpaka nilitamani kuacha kuangalia kabisa. Kifo cha Hank kiliniuma sana
Kwenye HOMELAND wengi walisikitika na wengine kuacha kabisa kuangalia baada ya BRYOD kufa kwa kunyongwa. Ndio msisimko wenyewe wa movie, kuwavika watazamaji hisia kuona jambo kama halisi kabisa, kufurahi na kuhuzunika.
 
Nilicheka sana kwenye ile episode ambayo kametegewa Bomu

Baada ya mlipuko kanatoka nje ya ile ward alafu kanajirekebisha Tai wakati huo camera imekaa upande mmoja na kanaonekana Kako fresh tu

Watu tukajua kuwa kame survive na kuanza kulaani kumbe upande wa pili ndipo kuna Athari za Bomu na kamelipuka nusu USO

Baada ya kurekebisha Tai ghafra tunaona kajamaa kakaanguka [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Niliangalia kile kipande zaidi ya mara 10 nikiwa nacheka sanaaaaa
Hata mimi hapo nilishtuka nikasema mwamba hajafa..ila kamera ilivyobadilika nilicheka kinoma.
 
Skinny Pete:Yoooo Jesse' that blue meth you guys are cooking it's a bomb..out of this world.
Yaani Skinny aliigiza kama ana miaka 28 hivi na ilhali ni mtu mzima now ana miaka 52. Kwenye El Camino ya mwaka 2019 ameigiza poa sana pia
 
Mkuu The Knowledge Seeker nimeamua kupoteza muda kuitazama ili nijiridhishe maana nimekuwa nikisema Hakuna Series kali kama Prison Break ila naishia kutukanwa kwamba sizijui series kali na wanasema bila kupepesa Macho ya kwamba Breaking Bad ni bonge moja la series,ndiyo maana nataka ninihakikishie halafu nitakuja na conclusion,Mpaka sasa kwa hizi season 1 kila upande,kwakweli PRISON BREAK naipa 10/10 na hiyo BREAKING BAD naipa 2.9/10.
@UMUGHAKA unapoangalia Breaking bad tuliza kichwa don't miss tukio lolote lile maana ndio utamu ulipo, nimeangalia prison break sikuwahi kuamini hata siku moja kuwa kuna series itakuja kuipiku PB Kwa ukali mpaka mwaka 2018 ndio nikagundua NEVER SAY NEVER.

BREAKING BAD ni Masterpiece and it's not respect to compare BB na PB Mimi sio wale wabishani wa vijiwe vya kahawa wanaosema Kuwa Breaking Bad ni kali bila kutoa sababu twende kwenye Reasons.

Kwanza Ni Transformation ya Walter White kutoka kuwa mtu wa kawaida mpaka kuwa Drug dealer haikuwa simple maana kapitia challenge nyingi akiwa na mwanafunzi wake Jesse Pinkmen.

Mtitiriko wa Mikasa na matukio well arranged tena katika uhalisia.

Heartbreaking moments pale Jesse Pinkmen anapompoteza mpenzi wake Jane kutokana na drug overdose kitu ambacho kilimbadilisha kiujumla.

Uwepo wa character kama Gustavo Fring na Saul Goodman Umenogesha hii series.
 
Back
Top Bottom