lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Peopleeeeeeeeessssssssssssssss!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kumekuwa na mpambano wa chini kwa chini kila mtu kutaka kujiposition kwa Prisoner 46664 wazi wazi na kisirisiri!!!! Sasa Kujihakikishia ushindi tumeleta Battle of The Babes!!!!!!!! Kila Contenstant atasema kipi kimemvutia kwa Prisoner 46664 na WHY ashinde!!!!!!!!!!
Mashabiki unakubaliwa kumshabikia yoyote alieamua kujitosa si kumpendekeza asiejitosa!
Yoyote mdada ukijiona uko fiti we jitose tu, fata vigezo hapo juu!
Mwisho Prisoner 46664 atachagua aende nani hiyo dinner, Anacover full cost ya dinner, usafiri, hata chumba ukitaka! Mshindi anachagua hotel au lounge ya kudine au kugida maji! (What a gentle Man)
And May the WAR BEGIN!!!!!!!!!!

Last edited by a moderator: