Prisoner 46664 Please Take Me to A Dinner Date (Nani Kuibuka Mshindi!)

Prisoner 46664 Please Take Me to A Dinner Date (Nani Kuibuka Mshindi!)

prisonetr huyo wa kutravel atakupasua nkichwa ,huyo mwingine mtafuta madini na migodi tu,the only option ya ukwee ni kwangu the only decent in this jukwaa, upewe nini tena zaidi ya milki yangu

Hahahaaaaaaaa! Prisoner Mwanaume wa ukweli takes care of his girl!!!!! Jst take care of me n it will be my full time job to make you happy! Ill carter to you baby!

Kazi yangu ni kuhakikisha unapata what your heart desires!!!!! Ukija room nakupoke mkoba kwa mabusu teletele! Nakuvua viatu na soxi, mkanda na vilivobakia! Hapo nipo kwenye khanga moko, Tunastua kwanza na cha pole na uchovu wa kazi, Baade unanisimuli yote yaliojiri kazini, Im here to listen baby! Massage lazima, viti hivi vya mchina haviaminiki, Tunakula, Jioni zoezi linaendelea! Saa kumi cha asubuhi lazima! Hapo nishakuchaguli nguo za kazini! Yaani ssssssssssssssss!!!!!!!!

Hawa watoto moto huu hawauwezi! Wengine hivi ni vipaji sio kujifunza!
 
sio nimejitoa nishazoea mtanange wa mashosti zaidi ya 10 kwa mwanaume mmoja afu mie ndo naibuka mshindi so hapa naona ka najipaka masizi bureee...ila prisoner jua deep down u hav a chance 2m so anytym u fil like just hola m hata kwa 1nit stand hahahahahahah

Hahahaaaaaaaaaa! Moto ulivo mkali huu hadi kubwa la maadui navuta pumzi! Si mchezo! Amatures hawawezi kugusa anga hii! Lazima wakae chonjo! Hili goma inabidi kulivalia Raizon namba mbili ili kulicheza!

Amatures zao PM tu, ndo uwanja wa wanyonge! Hapa upinzani mkali zaidi ya kugombea jimbo!
 
Afu Baba V kazi imekushinda! Badala unifungishe ndoa na Prisoner ya kule chit chat umekaa unakodoa macho tu, na kungaa sahrubu!

Nitandamana tumpate mtu alie fasta!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Cielo bana habari gani za ushindi wa mezani, we endeleza league hapa hata robo fainali bado angalau mnisogeze sogeze sogeze maana najua fainali natinga natafuta mshindi wa pili tu tumfikirie hata kwa juice ya azam ya elfu tano hahahaha
 
hahahahah sasa si mnikabidhi prisoner wangu tukajimwayemwaye!!! mie ndo mshindi na ole wenu nisikie a lady anajikomba kwake....
Hahahaaaaaaaaaa! Moto ulivo mkali huu hadi kubwa la maadui navuta pumzi! Si mchezo! Amatures hawawezi kugusa anga hii! Lazima wakae chonjo! Hili goma inabidi kulivalia Raizon namba mbili ili kulicheza!

Amatures zao PM tu, ndo uwanja wa wanyonge! Hapa upinzani mkali zaidi ya kugombea jimbo!
 
we nawe usiilalie mlango wazi bahati ya mwenzio, hua havitunukiwi hivihivi kafanya kazi mwenzio ujue, nani kama prisoner narudia no one like u

Kila mtu anapenda vizuri, hata kama nimezeeka, i like it the way mnavyopigana vikumbo hapa
 
Kesho na mimi nakuwa prisoner 57775, kwani nani hapendi kugombaniwa na vimwana,tena hapo kwenye 13 years naweka 22 afu nione ntakavyowabanduabandua lebo na uzee wangu huu. Mwe, afu huyo Prisoner 46664 mwenyewe mbona kapotea? Msije dhani ni jasiri kwa kupitisha hzo thirteen kumbe la kibisa and he could not do any better ohooo!

I like that seeing them down
Them niggaz jackin' my style
They try to copy my swagger
I'm on that next shit now
I'm so three thousand and eight
You so two thousand and late
 
hahahahah sasa si mnikabidhi prisoner wangu tukajimwayemwaye!!! mie ndo mshindi na ole wenu nisikie a lady anajikomba kwake....

hakunaga ushindi wa kirahisi hivyo, cha ukwee hichi kuking'oa uache kazi ufanye kazi like wot am doing rit now najua once i win ma prisoner atanipoza machungu yote ya hili game lisilo na mshika kibendera wala kanuni za uchezaji faulo njenje
 
Afu Baba V kazi imekushinda! Badala unifungishe ndoa na Prisoner ya kule chit chat umekaa unakodoa macho tu, na kungaa sahrubu!

Nitandamana tumpate mtu alie fasta!!!!!!!!

Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anapenda vizuri, hata kama nimezeeka, i like it the way mnavyopigana vikumbo hapa

hahaha ukiona watu wameamua kuingia ulingoni ujue c ashindano ya kichangani haya mshindi kupewa mbuzi cjui kuku, hii ni zaidi ya medani ya tanzanite,to win prisoner ni zaidi ya ikulu ya obama in this we so col love
 
I like that seeing them down
Them niggaz jackin' my style
They try to copy my swagger
I'm on that next shit now
I'm so three thousand and eight
You so two thousand and late

teh teh teh, we lowasa wewe...!
 
Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!

keybord ndio mwanzo wa kila kitu mkuu kwenye hili game, next ndio hiyo dina then ges wot next next nahisi sihitaji kukuambia hili
 
kwa kweli huyu mwanaume yupo njema kwa maongezi tu ya online vile amefanikiwa kuteka kila mwenye kupenda moyo wake lol especially me, so kwanza prisoner yupo vyema kichwani anajua kuanalyse vitu so nna uhakika he wil be one step ahead of me.pili i have assurance that once he announce he will be only mine n mine coz he is more dan commited in love ikumbukwe nowadays hawapatikani wenye hizi sifa so kumpata ye ni bahati iliyoje,
tatu inaonekana anajua wot love means simaanishi kugegedana tu maana kukaa miaka 13 in relation c mchezo tena wala hajahangaika na kuomba sex nani mwengine ataweza, no one like priosoner , u r alpha n omega, hapa najua macho yote yatakua kwangu ntapendwa mie , ntajaliwa mie, ntaringa mie , u r more dan gentlemen pls come this way achana na wajanja wa mujini watakuliza bure
Suprise..hapa umeshanionea,,nlikuwa na haki ya kukulalamikia juzi lol!..
 
Last edited by a moderator:
Aiseee! JF zaidi ya uijuavyo! Time changes. Napita tu! Kila la heri~!
 
Unataka ya mkeka? Huoni Prisoner 46664 asivyotaka kumtangaza mshindi,anajua wengi mmeingia tunduni,atawaonjaonja kwanza then ndo atangaze nani mshindi, sasa nyie komaeni kuonyesha ufundi wa kucheza na keyboard mjisahau mambo muhimu,itakula kwenu ala!

Naona umegomaaaa kutekeleza wajibu! Hata sie tunataka kuona the real package tu! So TUTAONJANA!!!!!!! Hilo lisikupe pressure!

Hata 13YRS zilianza na dinner date!
 
Am not sure kwa nnavyofahamu upeo wako prisoner utarubunika kizembezembe , u r too gud kukutana na mitego ya mujini, u deserve someone u can match like suprise,u r committed man u nid a comited gal tuu ya nini kuhangaika na pasua kichwa,pls i cant dare seeing u suffer , come pls

mmh...lord knows I am touched Suprise..em share na wewe kidogo kwanza..how are u so 'commited'??please help a man out..
 
Last edited by a moderator:
mie naanza kama hivi...Prisoner ni mwanaume wa ukwee kikubwa kilichonivutia kwake ni uaminifu....13 years na ex si mchezo tena bila kuonja tunda hadi wajanja wakamzidi ni bonge la sifa kwangu!!! mwanaume wa hivi waweza mwacha na beki3 hata mwaka mzima na asimgegede aka mzabzab, sipendi kushare mhogo na chic yeyote so nikimpata prisoner i will b a queen in his world.....pia napenda mwanaume muwazi...ka mie mwenyewe...na prisoner amedhihirisha hilo, men waongowaongo na wenye misecret hawanipi mzuka kabisa.prisoner mie ni manzi wa ukwee...ahahahah yani nimekamilika idara zote, idara ya usalama wa mahusiano ndo usiseme full mautundu so come 2m baby and get the chance to enjoy the full package kwa raha zako....ishu ya mkwanja si tatizo kwani we attitude yako 2 towards ladies imenifanya nijitoe mzimamzima 4 anythng u want....hao wengine usiwasikize hawana sifa...just say yes an Ciello will b at ur disposal

hahaha wacha zako kwani dnt beki tatu not need dushelele jamani
 
Back
Top Bottom