DingiMbishi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2021
- 449
- 647
Leta yako inayoonyesha mpira haukugusa mkonoIko picha ya kukwepesha mkono usiguswe na mpira, tuonyeshe picha ya mkono ulivyogusa mpira.
Nendeni na wazee wenu mahakamani mkashitaki ndugu kama mnaona mnaonewa,naona imewachoma kuliko hata hao Mbeya wenyewe