Priva ajichanganya kuelekea mechi ya Yanga

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya Mamelodi.

20240321_200715.jpg

Baada ya kugundua makosa, Priva aliifuta picha yenye mashabiki wa Simba na kuweka Picha yenye mashabiki wa Yanga.

✍️ Mjanja M1
 
View attachment 2941036

Baada ya kugundua makosa, Priva aliifuta picha yenye mashabiki wa Simba na kuweka Picha yenye mashabiki wa Yanga.

✍️ Mjanja M1
Tuletee huo ushahidi uliofutwa
 
Haya nayo mwisho wa mwaka yawekwe kama mafanikio ya Simba.
 
Back
Top Bottom