Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

Hata enzi za ZeUtamu watu walilijadili sana

Mkuu tatizo wabongo tuna tabia ya kusahau vitu mapema. Kwenye hili suala la faragha leo limekuja in the context of the education. Bahati mbaya reference ilikuwa ni mtoto wa Rais. I just wish reference ingekuwa mtoto wa Mtanzania wa kawaida ambaye baada ya matokeo yake mabaya kusambazwa kwenye mitandao kwa kuona aibu iliyo mbele yake akaamua kujiua. Bado hao wanaopinga haki ya faragha wangeendelea kupinga? Au tuseme huyo mtoto wa Kikwete mwenyewe kutokana hii publicity mbaya aliyoipata kutokana na matokeo mabaya akaamua kujiua. Hao wanaopinga haki ya faragha watadhubutu kuonyesha nyuso zao hapa?
 
Kipeng'e, hongera, kumbe na wewe you belong to the learned bothers and sisters!.

Very unfortunately "the right to privacy" doesnt apply in this scenario simply because the names, grades and exam results are not covered, they are public afairs and the right to privacy only covers her biometric datas and family afairs.

Kama wange disclose her registration details wangekuwa liable!. Not a bad start, first family have regognized you subiria tuu asante yako!.
Kwa sheria za Bongo labda mkuu wangu. Huku matokeo ya mtoto ni private matter hayawekwi ubaoni na hata yakiwekwa ni kwa namba zao. Na hata wanapofanya mitihani ni namba zao zinazotumika huko wizarani au board ya mitihani maana hawa wenzetu walisha ona mbali kabla yetu ktk maswala haya.. Matatizo yote tunayoyapata nchini yanatokana na hizi fikra za kutotambua umuhimu wa haki hii.

Hakuna kitu hapa ambacho ni Public affair kinachomhusu mwanafunzi ktk jambo la kheri, yeye sii jambazi ambalo utasema ni swala la public awareness...Inaweza kabisa kusema asilimia 70 ya wanafunzi wa darasa la saba wameshindwa mitihani na ikaeleweka bila kuweka majina yao. hawa mnawapa adhabu kama vile wamevunja sheria ya nchi ni Ushenzi mkubwa unaofanyika. Na ndio maana elimu yetu imezidi kuwa duni lakini tunapenda sana kutetea Uozo wa kimfumo na sheria.

Sema jambo moja tu ambalo pia tumetumia ujinga ni kufikiria kwamba mtoto wa JK hawezi kuwa kilaza, kabuntas. Na kushangaa imekuwaje kashindwa! hii pia inaonyesha ufinyu wetu ktk kuelewa kwamba mtoto wa JK hana tofauti kabisa na mtoto wa mtu mwingine na anaweza kushindwa mtihani hivyo kumtumia yeye kudai haki ya msingi kwa watoto zetu. Tatizo haswa la kisheria ni kuweka wazi majina ya watoto ktk matangazo ambayo sii lazima isipokuwa ku invade privacy zao kwa sheria za Kutawaliwa..
 
Nafikiri ni WildCard kama sijakosea.
Hivi kweli matokeo ya mtihani ni "private information"? Mtihani unaotungiwa na kusahihishwa na watu wengine! Watu wanayajua matokeo haya kabla hata ya wewe mwenyewe. Wote hawa watakutunzia siri kweli?
 
Huko uliko Mkandara taarifa na maendeleo ya mtu zinafuatiliwa na kurekodiwa tangu mimba. Huku nyumbani ndio kwanza tunaanza na RITA. Tukiyafanya mambo haya ni "private" kama mnavyotaka kutakuwa na madudu ya ajabu sana kwenye mambo haya. Acha tujiandae kwanza kwa utamaduni huo mpya.
Mkandara wewe kwa umri wako utakumbuka jinsi watu na akili zao nzuri walivyokuwa wanashindwa kuvuka darasa la saba enzi hizo kwa sababu ya usiri uliokuwepo.
 
Mkuu wanaosahihisha mitihani wanafungwa na sheria ya kulinda privacy ya mtu. Kama anavyofungwa daktari au mtu wa benki.. Nitakuwekea kipengele kidogo cha sheria za hapa majuu kinachohusiana na privacy act...kinasema hivi:-

The purpose of this Act is to extend the present laws of Canada that protect the privacy of individuals with respect to personal information about themselves held by a government institution and that provide individuals with a right of access to that information.

-"Personal information" means information about an identifiable individual that is recorded in any form including, without restricting the generality of the foregoing
(a) information relating to the race, national or ethnic origin, colour, religion, age or marital status of the individual,
(b) information relating to the education or the medical, criminal or employment history of the individual or information relating to financial transactions in which the individual has been involved,
(c) any identifying number, symbol or other particular assigned to the individual
d) the address, fingerprints or blood type of the individual,

Inaendelea mbele zaidi kueleza jinsi vymbo hivi vinavyofungwa na sheria hiyo isipokuwa kwa sababu nyingine inayovunja haki hii..lakini ukitazama hapo juu utaona education imewekwa.. Hizi ni sheria za nchi na sio sheria zinazotungwa na NECTA bali Necta wanatakiwa kufuata sheria hizi..
 
Wildcard (samahani kwa kukosea I'd yako huko nyuma), hivi kweli hawa wanaosahihisha mitihani tuna uhakika gani kama wangekuwa fair katika usahihishaji wao kama wangejua majina? Mimi ninachoelewa wanaosahihisha mitihani wanasahihisha zile scripts/booklets ambazo zina namba tu na si majina. Labda kama kuna kulinganisha na assessment ya mwanafunzi (ambayo unfortunately huwa ni wanafnzi wachacheambao either wamefaulu sana au wamefeli sana)
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Hapana mkuu wangu madudu yanayotokea sasa hivi nchini inatokana na kutojali privacy maana tumefanya hivyo kwa miaka 50 na elimu inazidi kwenda chini bado hatufikirii kwamba ndio sababu za kudumaza watoto wetu wanakuwa wanasoma kushinda mitihani badala ya kwenda shule kuelimika! Mtoto akikojoa kitandani unamfunga makopo na kumtembeza mtaa mzima azomewe ati ndio dawa asikojoe kesho kitandani... huu ni unyanyasaji wa watoto, zipo njia nzuri zaidi za kumjenga mtoto akili afahamu hatakiwi kukojoa kitandani na sii kuogopa..
 
Mkuu wanaosahihisha mitihani wanafungwa na sheria ya kulinda privacy ya mtu. Kama anavyofungwa daktari au mtu wa benki.. Nitakuwekea kipengele kidogo cha sheria za hapa majuu kinachohusiana na privacy act...kinasema hivi:-

The purpose of this Act is to extend the present laws of Canada that protect the privacy of individuals with respect to personal information about themselves held by a government institution and that provide individuals with a right of access to that information.

-"Personal information" means information about an identifiable individual that is recorded in any form including, without restricting the generality of the foregoing
(a) information relating to the race, national or ethnic origin, colour, religion, age or marital status of the individual,
(b) information relating to the education or the medical, criminal or employment history of the individual or information relating to financial transactions in which the individual has been involved,
(c) any identifying number, symbol or other particular assigned to the individual
d) the address, fingerprints or blood type of the individual,

Inaendelea mbele zaidi kueleza jinsi vymbo hivi vinavyofungwa na sheria hiyo isipokuwa kwa sababu nyingine inayovunja haki hii..lakini ukitazama hapo juu utaona education imewekwa.. Hizi ni sheria za nchi na sio sheria zinazotungwa na NECTA bali Necta wanatakiwa kufuata sheria hizi..
Huko mliko sheria zinafuatwa sana na wapo walioapa kuzilinda na kuzitetea na wanafanya kweli. Sio TANZANIA hii. USIRI kidogo tu katika jambo lolote lile huo ni mwanya tosha kwa maasi na maovu ya kila aina. Fanyeni subira. Tutafika tu huko.
 
Mbona kafaulu vizuri angetaga ingekuwa ishu ya kujisikia inferior lakini kapasua gamba analo.
 
Wildcard (samahani kwa kukosea I'd yako huko nyuma), hivi kweli hawa wanaosahihisha mitihani tuna uhakika gani kama wangekuwa fair katika usahihishaji wao kama wangejua majina? Mimi ninachoelewa wanaosahihisha mitihani wanasahihisha zile scripts/booklets ambazo zina namba tu na si majina. Labda kama kuna kulinganisha na assessment ya mwanafunzi (ambayo unfortunately huwa ni wanafnzi wachacheambao either wamefaulu sana au wamefeli sana)
MwanajamiiOne,
2+2=4 tu. Msahihishaji hana jinsi ukishaandika jibu hili. Tena NECTA wangeenda mbali zaidi wakabandika na alama( marks) alizopata mtu sambamba na hizi grades.
 
Yakifanywa siri wazazi watajuaje matokeo ya watoto wao? Itakuwa rahisi kwa wengi wa watoto kuwadanganya wazazi ama walezi wao juu ya matokeo yao. Hata kama yatafanywa siri ni lazima kuwepo na mechanism ya kuwezesha wazazi kupsta matokeo ya bila ya kupitia kwa mtoto.

Hili la kuweka wazi kwa namna fulani pia linasaidia kuwapa wanafunzi hamu ya kutia jitihada zaidi ili asipate aibu na hata kuwatia aibu wazazi wake.
 
Mkuu swala hapa si kuwithhold m,atokeo bali ni kuyatoa kwa kuainisha na namba ya mtihani wa mwanafunzi na si jina. Information za nani anamiliki namba flani zinabaki kwa mtahiniwa, baraza la mitihani na walimu wenyewe. au basi watoe mechanism ya kila mtahiniwa kuwa na username na pasword kama wafanyacyo vyuoni.
 
Zuzu plus, hicho ndicho kipaji cha ukoo wao
Maswala ya shule huwa ina privacy gani huko; my foot!!!!!!!!!

Mtu usome shule yenye kila kitu Feza tena bila kujua kitu kwenda shule bila kunywa hata uji na kupigwa umande ndio ndoto kabisaaaa miguuni halafu bado mtoto wa bado unafeli sawa hawa wetu wa shule za chini-ya-mti vijijini!!!!!!
 
Hata kama disclosure ya majina isingekuwa wazi, huyo mtoto alikuwa anasoma pekee darasani? Hapana!! Basi hao wanafunzi wenzie wangeyajua matokeo yake, na kwa sababu ni mtoto wa MKULU, habari ya UFAULU wake ingesambaa kama moto wa nyika. Jamani tuwe wakweli, mimi mwenyewe mwanangu kapata Div IV ya pt.31 sasa niende mahakamani kwa sababu matokeo yake yamebandikwa mtandaoni?? Hapana. KILA MTU ATAVUNA ALICHOPANDA!! Awe mtoto wa Mkulu ama wangu mimi, awe kasoma FEDHA (Sorry FEZA) ama Nsyasya (kama huyu wa kwangu). Tafakari, Chukua Hatua!!

Kama ingekuwa zinatumika namba tu hata kama angetangaza namba yake ya mtihani kwa wanafunzi wenzake isingekuwa sawa na kutumia majina. mbona vyuoni wanatumia Registration numbers?? nao basi watumie majina maana hata wao wanafall kwenye category ya wanafunzi!!!
 
Yakifanywa siri wazazi watajuaje matokeo ya watoto wao? Itakuwa rahisi kwa wengi wa watoto kuwadanganya wazazi ama walezi wao juu ya matokeo yao. Hata kama yatafanywa siri ni lazima kuwepo na mechanism ya kuwezesha wazazi kupsta matokeo ya bila ya kupitia kwa mtoto.

Hili la kuweka wazi kwa namna fulani pia linasaidia kuwapa wanafunzi hamu ya kutia jitihada zaidi ili asipate aibu na hata kuwatia aibu wazazi wake.
Mkuu tunachoomba ni taarifa hizi za matokeo wapelekewe wazazi iwe kwa njia ya posta au wao wafuate shuleni au wizarani..Mzazi au mlezi ndiye mlinzi wa mtoto huyo hadi hapo atakapofikia miaka 18..Private za watu ziheshimiwe na hakuna excuse!

Kuna habari hii hapa imewekwa na HakiElimu inasema hivi:-
1. Wavualana 2571 wamefaulu daraja la 1 kwa asilimia 1.34, Wasichana 1100 wamefaulu daraja la 1 kwa asilmia 0.76
2. Wavualana 5658 wamefaulu daraja la 2 kwa asilimia 2.95, Wasichana 2454 wamefaulu daraja la 2 kwa asilmia 1.7
3. Wavualana 15,035 wamefaulu daraja la 3 kwa asilimia 7.84, Wasichana....

Hii taarifa inatupa mwanga zaidi wa kutazama elimu nchini na kuelewa kwamba tumekwama badala ya kutazama majina ya watu. Ebu wewe tazama picha hiyo kisha ni asilimia ngapi wameshinda na nambie kuna sababu gani ya kusifia hata shule za Private ikiwa matokeo yenyewe ndio kama haya!. Hii ni aibu kubwa sana kwa elimu nchini yaani duh!
Mimi nasema kuandika majina ya watoto na kadhalika ni kuficha Uchafu wa elimu nchini na kulifanya hili swala kuwa na kila mtoto. Ndio malengo ya ELIMU nchini kuonyesha kwamba ujinga wanao wao na sii mfumo mzima wa elimu nchini.
 
Back
Top Bottom