Privadinho amjibu Jemedari Said kuhusu kumpigia makofi Engineer Hersi ikulu wakati akiwa anaingia

Kabisa ,mchaga anaetafuta hela kwa kuwa chawa.Halafu ans degree ya Law eti ,sijui ni kweli ?Kama ni kweli sijui kwa nini hakwendi Law school na pesa anayo ,walau amiliki Law firm akiwa wakili.
Hahaaa jmn law school is not for everyone

But tuache wivu jemedari Ni mchawi yule
 
NI KWELI NILIMWAMBIA JEMEDARI APIGE WAKATI RAIS WA YANGA ANAPITA?

Nilimwambia kwa sababu niliona amekaa kimya wakati ukumbi mzima unampongeza @caamil_88

Kimsingi alikosa heshima kwa Rais wa Yanga.

Tujiulize alikwenda Ikulu kwa sababu zipi? Lets assume hamkubali Hersi kwa sababu zake binafsi, je hajui Hersi ndiye aliyempeleka Ikulu?

Kilichosababisha yeye aalikwe Ikulu ni klabu ya Yanga ambayo ipo chini ya Uongozi wa Hersi Said. Ukipenda boga basi penda na boga lake.

Je mafanikio haya ya Yanga unaweza kumtenganisha na Hersi?.

Nilitegemea awe proud na namna ambavyo vijana kwa hivi sasa wameshika hatamu kwenye soka la AFRIKA

Wakati Dr Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa CAF akaweka kijana wake mwenye miaka 32 tu

@football_senzo 2010 akiwa na miaka 31 pekee aliteuliwa kuwa makamu M/Kiti wa maandalizi ya kombe la dunia. Baadae 2011 akateuliwa kuwa Meneja Orlando Pirates na Platnumz stars. Na amefanya makubwa

2012 Raja Casablanca ilimchagua Mohamed Boudrika akiwa na umri wa miaka 28 na kuweka rekodi ya kuwa Rais mdogo zaidi katika historia ya klabu hiyo iliyoongozwa na maraisi takriban 25 tokea mwaka 1948

Boss wa Orlando ni Irvin Khoza ambaye aliichukua klabu hiyo akiwa na miaka 43 pekee mwaka 1991 na mwaka 1995 klabu hiyo ikashinda ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza

Leo Eng Hersi akiwa hajafikisha miaka 40 amefika fainali ya Kombe la Shirikisho, ametwaa ubingwa wa ligi, amefanikisha mchakato wa mabadiliko. Je hastahili pongezi?

Au Jemedari anamchukia Injinia?

Uthubutu wa kumkosoa Injinia anao, lakini mshipa wa aibu wa kutambua mchango wa Injinia hana.

Hiyo sio sportsmanship.

Huwezi kuipongeza Yanga halafu unasema simpongezi Hersi.!

Rais wa Nchi Mama Samia anampongeza Hersi wewe huoni thamani hiyo ?

Shida yenu mnaamini kumpongeza Injinia ni uchawa ila kumkosoa ni ushujaa.

Very bad mentality.

All in all hakuna kitu kitapungua, kwa Hersi, ndio kwanza shughuli imeanza. Itakusumbua sana moyoni kaka. Itakutesa..Ameandika Privadinho.

View attachment 2650074
Vijana wa siku hizi kama Paula!
 
Ana degree ya law kutoka udom
na kipindi yupo clouds alikua anasoma masters ya mass communication
Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.

Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo mkongwe Jemedari ni mtu mwenye kiroho "husuda"?!!!

Lakini kupiga makofi ni lazima?!!!

Kwani mtu asipopiga makofi katika hafla mintaarafu ya ile anakuwa kinyume na makofi yapigwayo ?!!!

Je kila anayepiga makofi huwa anaunga mkono [emoji817] p jambo lipigiwalo makofi ?!!!

Ni kwanini PRIVADINHO ashangae kwa msisitizo kwa kutopigwa hayo makofi ?!!!

Nyuma yake ana jambo gani ?!!!

Je ni ARI ya UJANA na utoto tu wa kupenda kujifunza mambo ya dunia kwa KUKOSOA wenye uoni tofauti na yeye?!!!!

Je ni "competition" ya kimakundi dhidi ya Jemedari Said?!!!

Je "wanajuana" na Jemedari Said pamoja na "kujuana" na Rais wangu Injinia Hersi ?!!!

Maswali ni mengi mno....

Ila haya maisha ya MJINI ukiwa "mshabiki" wa kila "USHAWISHI WA MIDOMO" huwenda ukajipunguzia thamani ya umakini atakiwawo kuwa nao BINADAMU [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

N.B Juzi kati mtu alipiga makofi katika hafla ya sherehe ya maulid baada ya shekhe kutoa mawaidha yaliyomgusa....tulipotoka haflani nikwambia hivi" ndugu yangu Richard umeona ulivyoangaliwa na maustadhi...wenzako hawapigi makofi kama ulivyopiga wewe...akacheka sana na kusema kuwa MAWAIDHA yalikuwa matamu pamoja na Biriani la viwango" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Peace & Love
 
Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.

Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Nilikua nakuona udsm kipindi anafanya masters sijui kama alimaliza
 
Huyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
Siku zote maisha yanaanzia chini mkuu
 
Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.

Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Nitaka nishangae mbona elimu zimeanza kuwa za mchezo hivyo
 
Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.

Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Hivi kumbe muhuri mtu anaweza bila kusoma Law school ?Na degree ya kwanza alipata GPA gani huyu Abiud ?
 
Back
Top Bottom