SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yeye yupo kumsifia basha wake tu,anawaabisha warombo wenzake sanaHuyo dogo alisoma vizuri kadi ya mwaliko ..Raisi ndiye aliyealika watu waje na sio yanga. Mtu akialikwa anamheshimu yule aliyemwalika Kwa kuona anastahili..