Privadinho amjibu Jemedari Said kuhusu kumpigia makofi Engineer Hersi ikulu wakati akiwa anaingia

Privadinho amjibu Jemedari Said kuhusu kumpigia makofi Engineer Hersi ikulu wakati akiwa anaingia

Hahahah,yaani kweli mchaga lazima angeenda Law school na angekuwa wakili msomi na kufungua firm yake apige hela. Au ni degree ya chupi ukute. Huyu mrombo eti anapumuliwa, sijui ni kweli.Kuna mahali nilisoma watu wanamwambia ajenge kwao maana kuna nyumba ya udongo ,vile siku hizi anajiona Bharesa.
Kwenye kupumuliwa hapo ndipo tunakosea wakuu

Mimi napenda watu tujenge hoja haya maneno sio sahihi kabisa
 
Huyo mjinga ameonesha uchawa kwa kiwango cha juu mpaka naona aibu mimi.

Eti Hersi ndie alimpeleka Jemedari ikulu, kwani ikulu ni nyumbani kwa utopolo?

Kama Rais asingewaita utopolo ikulu nani angehangaika kuwafuata ikulu?

Huyo chawa angejitutumua kama Jemedari angewafuata jangwani nyumbani kwao, hana akili kabisa.

Halafu ana tabia za kike kike sana, kuchunguza wanaume wanafanya nini ni upuuzi tu.
 
Why Jemedari Haitwi Shoga?Ukiona mtu anaitwa shoga ujue ni kuna ka ukweli.
Hamna labda way priva amekaa

Lakini kuna wanaume wengi Wapo hivyo Ni personality tu Hujawahi skia machoko wanaobeba vyuma tena ndio wengi
 
Huyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
Muda mwingine wanajisahau kwamba kuna watu wanajua mapito yao tena ya aibu
 
Kabisa ,mchaga anaetafuta hela kwa kuwa chawa.Halafu ans degree ya Law eti ,sijui ni kweli ?Kama ni kweli sijui kwa nini hakwendi Law school na pesa anayo ,walau amiliki Law firm akiwa wakili.
Mhh kila nikisoma ulichoandika napata makengeza alie elewa anijuze jaman. Dogo hana pesa na hiyo digiriii hebu wakuambie ukweli
 
Mhh kila nikisoma ulichoandika napata makengeza alie elewa anijuze jaman. Dogo hana pesa na hiyo dogiriii hebu wakubie ukweli
Hana degree ama?Ila ukweli ni kuwa kawa na maisha mazuri,ukilinganisha na kipindi anafanya kazi kwa Dauda.
 
Siku alivyoongea shombo kuhusu wapanda dala dala mbona watu walimfunua uhalisia wa maisha ya nyumbani kwao.Ziliwekwa hadi picha za nyumbani kwao ni aibu sana ukilinganisha na shombo zake mitandaoni.

Hilo la kupumuliwa inawezekana kabisa maana alikuwa na mchumba lakini baada ya kuajiriwa tu Yanga na uchumba ukafa kabakia kumsifia Boss (??) wake 24/7
Mwanaume hawezi muda wote anapaka lipshine
 
Watoto wa Barekhesa pia?Mo Dewji pia?
Mzazi usipotengeneza maisha ya watoto wako na kujijenga kiuchumi mwisho wataosumbuka ni watoto wako.
Kina Manji, Dewji, Bakhresa na wajukuu, Azania, Kikwete, etc huwezo sikia wajukuu zao wakateseka.


Sisi tunaoamini kuajiriwa ndo mafanikio hapo huna cha kuacha sana sana mafao pale utapokufa ghafla
 
Ndio maana wao ni wachache,lakini uyo bakhresa akuwa tuu tajiri,alianzia chini uku,Aya ao watt asingekuwa baba still wangeanzia chini
We unaamini unaweza anzia chini hadi kufika alipo yeye?
 
Huyo dogo alisoma vizuri kadi ya mwaliko ..Raisi ndiye aliyealika watu waje na sio yanga. Mtu akialikwa anamheshimu yule aliyemwalika Kwa kuona anastahili..
Ingekuwa mwaliko watolewa na Yanga, kuna watu wengi usingewaona pale.

Viongozi wa Simba wameenda sababu wamealikw ana Ikulu
 
Back
Top Bottom