dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Hahaaa jmn law school is not for everyoneKabisa ,mchaga anaetafuta hela kwa kuwa chawa.Halafu ans degree ya Law eti ,sijui ni kweli ?Kama ni kweli sijui kwa nini hakwendi Law school na pesa anayo ,walau amiliki Law firm akiwa wakili.
Vijana wa siku hizi kama Paula!NI KWELI NILIMWAMBIA JEMEDARI APIGE WAKATI RAIS WA YANGA ANAPITA?
Nilimwambia kwa sababu niliona amekaa kimya wakati ukumbi mzima unampongeza @caamil_88
Kimsingi alikosa heshima kwa Rais wa Yanga.
Tujiulize alikwenda Ikulu kwa sababu zipi? Lets assume hamkubali Hersi kwa sababu zake binafsi, je hajui Hersi ndiye aliyempeleka Ikulu?
Kilichosababisha yeye aalikwe Ikulu ni klabu ya Yanga ambayo ipo chini ya Uongozi wa Hersi Said. Ukipenda boga basi penda na boga lake.
Je mafanikio haya ya Yanga unaweza kumtenganisha na Hersi?.
Nilitegemea awe proud na namna ambavyo vijana kwa hivi sasa wameshika hatamu kwenye soka la AFRIKA
Wakati Dr Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa CAF akaweka kijana wake mwenye miaka 32 tu
@football_senzo 2010 akiwa na miaka 31 pekee aliteuliwa kuwa makamu M/Kiti wa maandalizi ya kombe la dunia. Baadae 2011 akateuliwa kuwa Meneja Orlando Pirates na Platnumz stars. Na amefanya makubwa
2012 Raja Casablanca ilimchagua Mohamed Boudrika akiwa na umri wa miaka 28 na kuweka rekodi ya kuwa Rais mdogo zaidi katika historia ya klabu hiyo iliyoongozwa na maraisi takriban 25 tokea mwaka 1948
Boss wa Orlando ni Irvin Khoza ambaye aliichukua klabu hiyo akiwa na miaka 43 pekee mwaka 1991 na mwaka 1995 klabu hiyo ikashinda ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza
Leo Eng Hersi akiwa hajafikisha miaka 40 amefika fainali ya Kombe la Shirikisho, ametwaa ubingwa wa ligi, amefanikisha mchakato wa mabadiliko. Je hastahili pongezi?
Au Jemedari anamchukia Injinia?
Uthubutu wa kumkosoa Injinia anao, lakini mshipa wa aibu wa kutambua mchango wa Injinia hana.
Hiyo sio sportsmanship.
Huwezi kuipongeza Yanga halafu unasema simpongezi Hersi.!
Rais wa Nchi Mama Samia anampongeza Hersi wewe huoni thamani hiyo ?
Shida yenu mnaamini kumpongeza Injinia ni uchawa ila kumkosoa ni ushujaa.
Very bad mentality.
All in all hakuna kitu kitapungua, kwa Hersi, ndio kwanza shughuli imeanza. Itakusumbua sana moyoni kaka. Itakutesa..Ameandika Privadinho.
View attachment 2650074
Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.Ana degree ya law kutoka udom
na kipindi yupo clouds alikua anasoma masters ya mass communication
Na wewe mbona unamchafua Jemadari? Huyo mrombo wako hachafuliwi ndiyo alivyo na hakuanzia hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acheni kumchafua mrombo wa watu
Tanzania kuchafuliwa Ni kawaida wivu tu imeaaaJaa
Jemedari Ni mpuuuz mkuda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]NI KWELI NILIMWAMBIA JEMEDARI APIGE WAKATI RAIS WA YANGA ANAPITA?
Nilimwambia kwa sababu niliona amekaa kimya wakati ukumbi mzima unampongeza @caamil_88
Kimsingi alikosa heshima kwa Rais wa Yanga.
Tujiulize alikwenda Ikulu kwa sababu zipi? Lets assume hamkubali Hersi kwa sababu zake binafsi, je hajui Hersi ndiye aliyempeleka Ikulu?
Kilichosababisha yeye aalikwe Ikulu ni klabu ya Yanga ambayo ipo chini ya Uongozi wa Hersi Said. Ukipenda boga basi penda na boga lake.
Je mafanikio haya ya Yanga unaweza kumtenganisha na Hersi?.
Nilitegemea awe proud na namna ambavyo vijana kwa hivi sasa wameshika hatamu kwenye soka la AFRIKA
Wakati Dr Motsepe anachaguliwa kuwa Rais wa CAF akaweka kijana wake mwenye miaka 32 tu
@football_senzo 2010 akiwa na miaka 31 pekee aliteuliwa kuwa makamu M/Kiti wa maandalizi ya kombe la dunia. Baadae 2011 akateuliwa kuwa Meneja Orlando Pirates na Platnumz stars. Na amefanya makubwa
2012 Raja Casablanca ilimchagua Mohamed Boudrika akiwa na umri wa miaka 28 na kuweka rekodi ya kuwa Rais mdogo zaidi katika historia ya klabu hiyo iliyoongozwa na maraisi takriban 25 tokea mwaka 1948
Boss wa Orlando ni Irvin Khoza ambaye aliichukua klabu hiyo akiwa na miaka 43 pekee mwaka 1991 na mwaka 1995 klabu hiyo ikashinda ligi ya mabingwa Afrika kwa mara ya kwanza
Leo Eng Hersi akiwa hajafikisha miaka 40 amefika fainali ya Kombe la Shirikisho, ametwaa ubingwa wa ligi, amefanikisha mchakato wa mabadiliko. Je hastahili pongezi?
Au Jemedari anamchukia Injinia?
Uthubutu wa kumkosoa Injinia anao, lakini mshipa wa aibu wa kutambua mchango wa Injinia hana.
Hiyo sio sportsmanship.
Huwezi kuipongeza Yanga halafu unasema simpongezi Hersi.!
Rais wa Nchi Mama Samia anampongeza Hersi wewe huoni thamani hiyo ?
Shida yenu mnaamini kumpongeza Injinia ni uchawa ila kumkosoa ni ushujaa.
Very bad mentality.
All in all hakuna kitu kitapungua, kwa Hersi, ndio kwanza shughuli imeanza. Itakusumbua sana moyoni kaka. Itakutesa..Ameandika Privadinho.
View attachment 2650074
Mrombo wa hovyo sana huyo.Kawatia aibu vijana wa KichagaNa wewe mbona unamchafua Jemadari? Huyo mrombo wako hachafuliwi ndiyo alivyo na hakuanzia hapa.
Nilikua nakuona udsm kipindi anafanya masters sijui kama alimalizaWewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.
Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Si mchawi,nae anapambana tu wanae waende msalani.Hahaaa jmn law school is not for everyone
But tuache wivu jemedari Ni mchawi yule
Haa Hawa Ndiyo Wanaobonyezwa Na Huyo JamaaMpunga Unapungua!
Wali Unaliwa
Mkiwalegeza Hao Nguvu Kazi Ya Taifa Itatoka WapiHuyu si ndo yule dogo ambaye ana matatizo na sisi wagombania daladala wakati yeye anasukuma ndinga??
Anyway, ubingwa hana
Na angefeli tu hiyo masters maana kila dalili katuoneshaAna degree ya law kutoka udom
na kipindi yupo clouds alikua anasoma masters ya mass communication
Siku zote maisha yanaanzia chini mkuuHuyu Dogo siku hizi anajiona matawi sana,amesahau alianza kwa kuwa mfanyakazi kwenye instagram ya Shaffih Dauda.Amshukuru Dauda kumpa kazi then kumpa kazi ya bila mkataba pale clouds fm ndo akapata uwanja hadi akajulikana.
Daaah naona mnatema SoMo kwa Wana.Ali Kamwe , nasikia hadi ndoa ilimshinda. Ni chakula ya wanaume wenzake.
Nitaka nishangae mbona elimu zimeanza kuwa za mchezo hivyoWewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.
Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Watoto wa Barekhesa pia?Mo Dewji pia?Siku zote maisha yanaanzia chini mkuu
Hivi kumbe muhuri mtu anaweza bila kusoma Law school ?Na degree ya kwanza alipata GPA gani huyu Abiud ?Wewe humjui vizuri Abiud, hana masters. Na kuhusu sheria amejaribu mara kadhaa ila kashindwa kupata muhuri.
Kwa ule ujengaji wa hoja na kushindwa kwake kutetea kisomi baadhi ya maswala, unaona anao uwezo wa kutoboa Law school wanakoingia 500 kisha wanafaulu 28?
Ndio maana wao ni wachache,lakini uyo bakhresa akuwa tuu tajiri,alianzia chini uku,Aya ao watt asingekuwa baba still wangeanzia chiniWatoto wa Barekhesa pia?Mo Dewji pia?
Kumbe Law ,mtu anaweza kufanya masters bila kupita kwanza Law school?Nilikua nakuona udsm kipindi anafanya masters sijui kama alimaliza
Ndo maana nimesemea watoto.Ndio maana wao ni wachache,lakini uyo bakhresa akuwa tuu tajiri,alianzia chini uku,Aya ao watt asingekuwa baba still wangeanzia chini
Ndio hizi position zao za Sasa hazikuja tuu walianzia ngazi za chin mpk sahv wamekuwa ma CEONdo maana nimesemea watoto.