Privaldinho Abiud ateuliwa kuwa Digital Manager wa Yanga

matunda ya uchawa, kujipendekeza na unafiki.pongezi kwake.

halafu si ninasikia huyu dogo ni mfuasi wa upinde wa mvua, au anasingiziwa?.
 
Kwa hawa vijana machachari na weledi waliotangazwa leo, natabiri na ninaona kabisa bwana muoaji atafute wapi pa kuelekea yeye na wakeze
 
kwenye picha anaonekana mnyonge sana,kalazimishwa?
 
Yanga inaongozwa na vijana Sasa rasmi kuanzia rais mpaka chini

Yanga ndio Kuna uhalisia wa transformation.

compared to Simba ni full uswahili tu.
 
Yanga inaongozwa na vijana Sasa rasmi kuanzia rais mpaka chini

Yanga ndio Kuna uhalisia wa transformation.

compared to Simba ni full uswahili tu.
Mtu Kama Manara sijui anaweza kuitwa Ni mswahili au mswahilina.
 
Kwasasa hakuna watu wasiokuwa na furaha kama PANYA ROAD na MASHABIKI WA MAKOLO!

Yaani hawa kwasasa ni ndugu kama ilivyo kwa TRAB na TRAT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichokiona ni kuwa Yanga inapendwa sana vijana ndo maana hata viongozi wao wengi ni vijana.. achilia mbali kule Kolokolo I kulikojaa Hadi wachezaji Wazee 😁
 
Hv Kuna Siri gani mbona watangazaji nguli wote hapa bongo ni wanachama wa Yanga...!!! Yaan Simba hawataki kabisa.. utasikia mara kitenge, privadinho, kamwe, Na wooooote ni Yanga.. kweli Yanga tam
 
Nafasi ya Ali Kamwe ilitakiwa apewe yeye sema wajuaji wamemvurugua dili,hata hivyo poa tu uongozi umeamua usimuache moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…