BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Priva Abiud (Privaldinho) - Ameteuliwa kuwa msimamizi mkuu wa Digitali na Maudhui (Digital Manager)
Karibu kwenye familia ya Mabingwa @privaldinho
#DaimaMbeleNyumaMwiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu Kama Manara sijui anaweza kuitwa Ni mswahili au mswahilina.Yanga inaongozwa na vijana Sasa rasmi kuanzia rais mpaka chini
Yanga ndio Kuna uhalisia wa transformation.
compared to Simba ni full uswahili tu.
Upinde kwelimatunda ya uchawa, kujipendekeza na unafiki.pongezi kwake.
halafu si ninasikia huyu dogo ni mfuasi wa upinde wa mvua, au anasingiziwa?.