ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mamelodi kasha chukua kombe, 5imba wapo hapo hapo miaka bukuKama mnajua Mamelodi alitolewa mara kadhaa robo fainali, pamoja na kiwango alichokuwa nacho, kwanini mnaikebehi Simba kutolewa robo fainali mara kadhaa Sasa?
2019 mnapocheza na Pyramids pengine ulikuwa bado hujaanza kuishabikia YangaYanga haijawahi kutegemea Jua ili kuwafunga wapinzani hata game ya Belouizdad ambao ndio waarabu wanaogopa Jua tuliwachezesha usiku ili tukiwapige wasiwe na visingio vya jua au joto....
Kuhusu ushirikina kila mtu anajua timu inayoroga mchana kweupe ni Kolo wizards maana mlichoma madawa yenu Kule south Hadi mkapigwa faini....
Yanga ni soka Safi ndo linatubeba... Ningekuaona mjanja kama ungesema mapema Mamelodi sundown n Bora au yupo unga
Bush StarsMtatokea wapi na kwa figisu gani?
Mkisema mcheze saa 9 alasiri muwakomeshe kwa jua kali mtagundua hiyo mbinu haiwezi kufanya kazi.
Hususani pale unapokumbuka Al Ahly alipochezea goli 5-0 ilikuwa ni mechi iliyochezwa muda huo huo saa 9.
Mnapata wazo labda muwekeze focus kwa Sangoma, mechi muimalizie huko.
Mnagundua kazi ya Sangoma wa Yanga ni kuwafanya wapinzani wawe wanaona giza.
Wakati mnafurahia hilo na kuona mwanga wa matumaini ghafla mnasikia meseji ya muamala, Sangoma karudisha hela.
Wakati mnashangaa kwanini Sangoma arudishe hela, mnastukia meseji ya Sangoma WhatsApp.
Kufungua meseji mnakutana na hii clip.
View attachment 2933600
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyowahi kucheza nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika,kumbuka sana hiloSimba lazima ikebehiwe ndio soccer letu yani unataka tuipongeze Simba!?tafadhari kunywa juice ya moto Simba robo ndio kombe lao kwa Caf
2006 Mamelody alichukua kombe
Mmeingia robo fainali baada ya miaka karne halafu huwa mnaikejeli Simba kwa kuiita 'Mwaka robo'. Kuingia robo tu hadi mkazimia, sijui washamba wa wapi nyie?Mamelodi kasha chukua kombe, 5imba wapo hapo hapo miaka buku
[emoji817] huwezi kuwa na kichwa kama kile ukawa na akili.Oruma yupi huyo? Wilson Oruma, please,! Toka lini mashabiki wakacheza mechi? Huwezi kuona kocha au mchezaji professional anadharau timu pinzani. Bongo peke yake ndiyo kuna huu upuuzi. Oruma ni mchambuzi? Hakuna wachambuzi hapa ni mashabiki uchwara tu.
Nilishamwona Oruma toka enzi zile nafikiri ilikuwa Channel ten ya sasa. A total joke.
Ndiyo maana huwa sipendi kuangalia mechi kwenye local channels because I love the beautiful game.
A a