Privaldinho amjibu Oruma

Privaldinho amjibu Oruma

Yanga haijawahi kutegemea Jua ili kuwafunga wapinzani hata game ya Belouizdad ambao ndio waarabu wanaogopa Jua tuliwachezesha usiku ili tukiwapige wasiwe na visingio vya jua au joto....

Kuhusu ushirikina kila mtu anajua timu inayoroga mchana kweupe ni Kolo wizards maana mlichoma madawa yenu Kule south Hadi mkapigwa faini....

Yanga ni soka Safi ndo linatubeba... Ningekuaona mjanja kama ungesema mapema Mamelodi sundown n Bora au yupo unga
2019 mnapocheza na Pyramids pengine ulikuwa bado hujaanza kuishabikia Yanga
 
Mtatokea wapi na kwa figisu gani?

Mkisema mcheze saa 9 alasiri muwakomeshe kwa jua kali mtagundua hiyo mbinu haiwezi kufanya kazi.

Hususani pale unapokumbuka Al Ahly alipochezea goli 5-0 ilikuwa ni mechi iliyochezwa muda huo huo saa 9.

Mnapata wazo labda muwekeze focus kwa Sangoma, mechi muimalizie huko.

Mnagundua kazi ya Sangoma wa Yanga ni kuwafanya wapinzani wawe wanaona giza.

Wakati mnafurahia hilo na kuona mwanga wa matumaini ghafla mnasikia meseji ya muamala, Sangoma karudisha hela.

Wakati mnashangaa kwanini Sangoma arudishe hela, mnastukia meseji ya Sangoma WhatsApp.

Kufungua meseji mnakutana na hii clip.
View attachment 2933600
Bush Stars
 
Simba lazima ikebehiwe ndio soccer letu yani unataka tuipongeze Simba!?tafadhari kunywa juice ya moto Simba robo ndio kombe lao kwa Caf
2006 Mamelody alichukua kombe
Simba ndiyo timu pekee ya Tanzania iliyowahi kucheza nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika,kumbuka sana hilo
 
Oruma yupi huyo? Wilson Oruma, please,! Toka lini mashabiki wakacheza mechi? Huwezi kuona kocha au mchezaji professional anadharau timu pinzani. Bongo peke yake ndiyo kuna huu upuuzi. Oruma ni mchambuzi? Hakuna wachambuzi hapa ni mashabiki uchwara tu.
Nilishamwona Oruma toka enzi zile nafikiri ilikuwa Channel ten ya sasa. A total joke.
Ndiyo maana huwa sipendi kuangalia mechi kwenye local channels because I love the beautiful game.

A a
[emoji817] huwezi kuwa na kichwa kama kile ukawa na akili.
 
Back
Top Bottom