Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nimechukizwa sana. Yaani mtaani hakuna amsha amsha hakuna lolote kwenye mitandano ni Simba na Kibegi. Huu ni ujinga sana.
Sisi Yanga tumejikuta tunacheza ngoma ya Simba. Mwananchi Day haijulikani itakuwa lini. Kote wanajadili jersey za Simba tu. Huu ni ukanjanja wa waandishi wa habari.
Hawazungumzii kabisa Mwananchi Day itakuwa lini. Maana kumekuwa kimya sana. Hamna kitu kinachoendelea. Akina Komwe wamejificha wapi?
Wameshindwaje na hawa Wachovu? Kila sehemu ni Simba, Simba, Simba. Inakwaza. Wale Kaizer wamenunuliwa kutusema hawatufahamu wale.....
Nimekasirika sana.