Privaldinho na Ally Kamwe wameshindwa kuitangaza Yanga Day

Wamekubali kuingia mfumo wa Ahemed ally na akawapoteza.
 


Tukupe wewe hiyo kazi?
 
Kikubwa ni uwanjani sio haya manjonjo ya nje.Yanga walishaonyesha afrika kuwa wanaweza sàsa tunasubiri tena tuone msimu huu itakuwaje.
 
Wao wapo busy na simba tu acheni yawakute mtajua wenyewe
 
Wewe wasema.
Na ndiyo ilivyo hapo, Siku ya Wananchi ni Copy ya Simba Day, ikageuzwa kuwa siku ya Wananchi lakini ukweli ni Yanga Day [emoji817] ndo maana hata baadhi ya mashabiki wa Yanga wanaita Yanga Day.
 
Kumbe leo ndo Siku ya Wananchi. Wameamua kushtukiza tu hawa watu... Washenziii sana. Kulikuwa na haja gani kushtukiza?
 
Mimi yanga ila siwezi toa msimbazi wangu et kwenda kumuona nungunungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…