PRIVALDINHO

PRIVALDINHO

Mbabani

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,676
Reaction score
4,693
Hii habari ya Senzo kuachana na Utopolo ni kama hajaiona hivi, angekua ni Gonzalez katimka Simba, angepost kuanzia asubuhi hadi kesho.

Chambuzi la michongo pale mawingu fm.

Mbabani July 31,2022 09:04 am.
FB_IMG_16592472947297223.jpg
 
Mkuu unashida gani na priva?? Mbona hoja zako nyingi za kibinafsi sana. Kuna ulazima wa huyo priva kuandika kihusu senzo??
Mshenzi sana huyu jamaa kwani anakuza sana vitu vinavyoichafua Simba na anafanya hivyo kupitia platforms zake zote ,tofauti na anavyofanya kwa timu zote duniani
 
Privadno anawasilisha level ya uandishi wa kiswahili ktk kivuli cha uchambuzi
 
Mshenzi sana huyu jamaa kwani anakuza sana vitu vinavyoichafua Simba na anafanya hivyo kupitia platforms zake zote ,tofauti na anavyofanya kwa timu zote duniani
Mshenzi namba 1 ni jemedari said, kama unawachukia washenzi basi anza jemedari pengine unaweza ukaeleweka zaidi ya hapo utakuwa una chuki zako binafsi
 
Tushamjua huyo chawa wa uto, hafai kumpatia mileage kubwa hivi, weka kapuni
 
Atakapoacha kubana sauti yake kuwa km ya Ruby, na ikawa yake halisia ndo tutaanza kumjadili, kwa sasa tumuache aendelee kulamba lolo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiyakumbuka tu yale maneno ya Ismail Aden Rage dhidi yao, hata huumizi kichwa.
Na yale ya Manara kuwa wanayanga vyupi vyao vimejaa kinyesi,wana Yanga wote ni hamnazo na yale ya Luc Eymael kuwa wana Yanga wote ni sawa na kima na mbwa nayo weka kwenye kumbukumbu zako
 
Back
Top Bottom