Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
- Thread starter
- #21
nimejitahidi rocky ila kuna watu wenye karama izoNa kabla hujaenda kumtafuta huyo private consultant wako jitahidi kwanza wewe mwenyewe ubadilike na ujikubali wewe na ujijuue ni nini unataka kabla hujaonana na huyo mshauri
Maana anaweza kuja mtu akakupa ushauri wa kukuelekeza kushoto wakati wewe unataka kwenda kulia hapo ni balaa