Private consultant hodari

Private consultant hodari

Na kabla hujaenda kumtafuta huyo private consultant wako jitahidi kwanza wewe mwenyewe ubadilike na ujikubali wewe na ujijuue ni nini unataka kabla hujaonana na huyo mshauri
Maana anaweza kuja mtu akakupa ushauri wa kukuelekeza kushoto wakati wewe unataka kwenda kulia hapo ni balaa
nimejitahidi rocky ila kuna watu wenye karama izo
 
U know what
The real problem ni wewe mwenyewe wala sio hayo ya dunia
Hayo ya dunia ni matokeo ila tatizo kubwa linaanzia kwako
jitambue kwanza na tambua kuwa unahitaji wewe ubadilike kabla ya kushauriwa au kupata ushauri

Yaani wewe tayari ushamfanyia diagnosis. Unatisha.
 
Jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. Nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja zote za maisha kiuchumi,kijamii everything.niko tayari kumlipa ila awe na bei affordable.kama haupo sirias pleas usinisumbue maana utaniongezea matatizo

kama ngapi!?? my price ranges from 20 to 50 US$ per hr
 
nimejitahidi rocky ila kuna watu wenye karama izo

Kujitahidi kunaendana na kukubali hali halisi
Unahitaji ubadilike wewe na kunadilika ni kujielewa kuwa wewe ni nani na kwa nini upo hapa duniani na nini unachotaka maishani mwako
Hili la kutafuta mtu wa kukushauri hawezi kukushauri kinyume na unavyotaka kuwa wewe mwenyewe
 
Pole! Nipunguzie mimi baadhi ya mawazo..kichwa changu kina Gigabytes za kutosha kuhifadhi matatizo ya kike ( just kidding!) LoL!
Fuata ushauri wa Mr.Rocky hapo juu, jifanyie self assessment ugundue mapungufu uliyonayo then tafuta solution. Kama uko dar jitahidi sikumoja moja uwe unakwenda pale mlimani city Cinemax kuangalia sinema.
 
kila wkend huwa naenda pale mlimani hadi nina complimentary ticket mkuu
 
Back
Top Bottom