Bebii...
Dah nashindwa hata nianzie wapi maana hata hajaniambia chochoteAfadhali umerudi
Nimezunguka vijiwe vyote sikuoni sijui ulihamia mtaa gani
hebu mpe ushauri Bebii bana
Dah nashindwa hata nianzie wapi maana hata hajaniambia chochote
kwa kweli sina nn wala sitaki
Hebu sikiliza huu wimbo huku tukiwa tunaendelea kutafakari menginekaka yaani sijielewi mwenzenu
Hahaha!! Rocky bana hajaniambia asiee nasubiri labda ataniambiaBasi kuna mambo mnafichana ndo maana hamko wazi na kila mmoja anaficha madhaifu na matatizo yake
Maana kama mngekuwa pamoja na mnaongea haya yasingekuwepo na mwenzako anaonekana haelewi kipi n i kipi
Hahaha!! Rocky bana hajaniambia asiee nasubiri labda ataniambia
Alright then hope you heard metatizo hapa jf mnafanyia masihara matatizo ya watu bwana mimi niko vibaya mwenzenu
rocky acha masihara sitanii i need specia treatment nitakufa mwenzenu
kwa kweli sina nn wala sitaki