Private consultant hodari

Private consultant hodari

Dah nashindwa hata nianzie wapi maana hata hajaniambia chochote

Basi kuna mambo mnafichana ndo maana hamko wazi na kila mmoja anaficha madhaifu na matatizo yake
Maana kama mngekuwa pamoja na mnaongea haya yasingekuwepo na mwenzako anaonekana haelewi kipi n i kipi
 
kwa kweli sina nn wala sitaki

Bebii. Unajua unaweza kukataa kitu kumbe kina faida yake.
Na unaweza kupenda kitu kumbe kina hasara na wewe, swali la NN, ni la msingi ebu lifanyie kazi unaweza kupata pumziko la moyo, peace of mind na msongo wa mawazo ukapungua Bebii
 
Basi kuna mambo mnafichana ndo maana hamko wazi na kila mmoja anaficha madhaifu na matatizo yake
Maana kama mngekuwa pamoja na mnaongea haya yasingekuwepo na mwenzako anaonekana haelewi kipi n i kipi
Hahaha!! Rocky bana hajaniambia asiee nasubiri labda ataniambia
 
Hahaha!! Rocky bana hajaniambia asiee nasubiri labda ataniambia

Kaka chukua nafasi yako basi
Plaly your part maana naona inakushinda uwaachie wengine wacheze
Duh nafasi adimu kwa wakati adimu kaka
 
Kaka chukua nafasi yako basi
Plaly your part maana naona inakushinda uwaachie wengine wacheze
Duh nafasi adimu kwa wakati adimu kaka
rocky acha masihara sitanii i need specia treatment nitakufa mwenzenu
 
Ila angalia huyo consultant isije akawa 'consumant' maana maumivu ya kichwa huwa yanaanza polepoleeeeeeeeeeee, then yanakuwa makubwaaaaaaaaaaaaaa! utawapata si umeona wameonyesha nia ya kutuma tender kwa ajili ya hiyo kazi.
 
Back
Top Bottom