Inawasili kutokea wapi ndugu mwandishi.....Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
Na yeye yuko wapiInawasili kutokea wapi ndugu mwandishi.....
Watanzania kwa uchawa, Nadhani ndicho tunachowezaMfanya Biashara maarufu? duuu sijawah fahamu
UJUMBE MZITO SANA HUU.ACHA waendelee kutakatisha fedha walizoiba wanasiasa!
Ndio maana ya kuwa GT!!UJUMBE MZITO SANA HUU.
Sasa hii inayotarajiwa kuja ni kitu gani?Hivi mnajua maana ya private jet au mmejaa utumbo wa nguruwe kichwani??
Hata uchukue richest wasanii wa tanzania 10 hawana uwezo huo.
Endelea kutarajia. Akon alinunua Private jet akumaliza nayo mwaka akaiuza.Sasa hii inayotarajiwa kuja ni kitu gani?
"Mfanyabiashara maarufu" kwa biashara ipi?Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.