Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

Tetesi: Private jet ya Jux kuwasili Jumanne

Private jet ya Msanii na Mfanyabiashara maarufu duniani, Juma Jux inatarajiwa kuwasili Jumanne saa 7 mchana katika Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Wote mnaalikwa kwenye mapokezi.
Itamuua hii lazima kama sio kupotelea angani uko uko au baharini ni huzuni kwa kwa kweli
 
Ndio maana ya kuwa GT!!

Hivi unajua kwanini mtandao wa fedha BOT na mabenki ya serikali umepotea hadi watafute ma IT Toka south Africa!

Unafikiri ndani hiki kipindi Hadi mambo yakiwa sawa zitakua zimeibwa sh. Ngapi!!?

Nauliza TU!
Dah kumamake walahi, mimi hapa nalilia kupata hata elfu 10 tu hapa..
 
20241012_143143.jpg
Ipite Mawinguni Kweli?
 
Kwanini ina nembo kama mzigo ni waserikali.

Watu wa Insta wanasema ni ya Shetta.
Facebook wanasema ni ya Jux na Mondi.
JF na X wanasema "mbona kama kiongozi kajinunulia?"

Wengine wanasubiri Millard Ayo apost.
 
Back
Top Bottom